John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars.
Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan Chonjo ambaye amezungumza na wanaandishi wa Habari leo Jumatatu Februari 7, 2022.
Ameeleza kuwa Ghalib anawatakiwa Watanzania wote kila la kheri na kuendelea kusapoti michezo.