John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Tulishawaambia utopolo ni timu kongwe na sio kubwa. Halafu ongelea nafsi yako utopolo mkubwa wewe!Kwa mtindo huu bora tufatilie ligi za wazungu.
Jitihada za watu wengine zinazimwa kirahisi na wahindi koko.
Hivi ndio umeongea nini wewe kolo mdogo?Tulishawaambia utopolo ni timu kongwe na sio kubwa. Halafu ongelea nafsi yako utopolo mkubwa wewe!
Na bado mtalia lia sana mautopolo nyinyi.Hivi ndio umeongea nini wewe kolo mdogo?
Mtahonga penalty mpaka mkome nyauba wewe.
Ndio kinachofuata wajipange sana wazee wa "transifomesheni" [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]kesho atajitoa Yanga
ni muda wenu nyani wote mrudi porini sasaKwa mtindo huu bora tufatilie ligi za wazungu.
Jitihada za watu wengine zinazimwa kirahisi na wahindi koko.
jamaa katema ndoano mapema tuHuwezi shindana na timu kubwa ya nchi.
This is Simba.
mrudi polini nyani mlitusumbua sana 😂 😂 😂Hivi ndio umeongea nini wewe kolo mdogo?
Mtahonga penalty mpaka mkome nyauba wewe.