Kwani uongo mkuu?Hao ndo wanatafuta umaarufu kwa nguvu.
Imeingia hiyo....katika mkuuRoma sio mwanamuziki ni mtafuta umaarufu kunuka tu
Haterzzz hata mtaani kwetu mpo!Roma sio mwanamuziki ni mtafuta umaarufu kunuka tu
Bado ngoja nikuzamishie na mambupuImeingia hiyo....katika mkuu
Dah!!Bado ngoja nikuzamishie na mambupu
Ndiyo kazi ya fasihi.jamaa kaacha kuikosoa serikali sasa anahamia kwenye music dah wakiziba huku wanabuni another alternative
Yeye inamuhusu nini?Kwani uongo mkuu?
Unaweza mwambia mtu ukweli akahisi unamkejeli....Yeye inamuhusu nini?
mm nilitakaga kumshauri jamaa awe anaimba hiphop ya kawaidajamaa kaacha kuikosoa serikali sasa anahamia kwenye music dah wakiziba huku wanabuni another alternative
Hii labda tumuulize mama mtoto wake, maana nayeye anayokea "kigogo"Na hii Tuhuma ya Mademu siku hizi wanauza T...,Manzese ,kigogo na Mabibo wote wiggle wiggle ni kweli?
Sio kweli, hawauzi ila wanakodisha.Na hii Tuhuma ya Mademu siku hizi wanauza T...,Manzese ,kigogo na Mabibo wote wiggle wiggle ni kweli?
Roma ni maarufu zaidi yako lakini.Roma sio mwanamuziki ni mtafuta umaarufu kunuka tu
Sitafuti umaarufuRoma ni maarufu zaidi yako lakini.
Hiyo inaitwa opportunity cost lazima uelekeze resources nyingi kwenye choice ambayo inakupa more return kuliko ile nyingine, yani kama una wapenz wawil basi unatumia muda mwingi na fedha nyingi kwa yule mpenzi unayemuona anakupa furaha nyingi na unahisi kuwa ni asset atakufaa kuliko kuwekeza nguvu na pesa nyingi kwa mpenz äiyeleweka hajatulia humpend na unaona kabisa hana future naye.