Bosi kamganda Dangote kaisahau Tiptop

Bosi kamganda Dangote kaisahau Tiptop

jamaa kaacha kuikosoa serikali sasa anahamia kwenye music dah wakiziba huku wanabuni another alternative
mm nilitakaga kumshauri jamaa awe anaimba hiphop ya kawaida
kutunga anajua
kuikosoa serikali show hupati ...
bora alivoamua kuimba kawaida tu
afu babutale ni kweli kaisahau tiptop kamganda mond
 
Hiyo inaitwa opportunity cost lazima uelekeze resources nyingi kwenye choice ambayo inakupa more return kuliko ile nyingine, yani kama una wapenz wawil basi unatumia muda mwingi na fedha nyingi kwa yule mpenzi unayemuona anakupa furaha nyingi na unahisi kuwa ni asset atakufaa kuliko kuwekeza nguvu na pesa nyingi kwa mpenz äiyeleweka hajatulia humpend na unaona kabisa hana future naye.
 
Ndio umesema nini sasa?
 
Back
Top Bottom