Bosi kamganda Dangote kaisahau Tiptop

Sema Roma nae anazingua , kahojiwa afu anaanza kupunguza makali ya uo mstar, asa ndo nn
 
Hata ukiwa mkulima yanini uendelee kupanda mapapai wakati unajua pesa zipo kwenye mananasi?

Nakutunuku falsafa ya udaktari katika Biashara.
That's it nothing more.
 
Jaman jose mtambo kiboko hata ile mechi za ugenini alimkalisha ROMA kweupeee..humu ndo kanikosha eti mimi siwezi kua shemeji yao sio saiz yao labda babu yao... mweh!
 
Daaa ila Kuna ka ukweli flan hivii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…