youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Sema Roma nae anazingua , kahojiwa afu anaanza kupunguza makali ya uo mstar, asa ndo nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimpangie hisia.Ajaribu kuimba mapenz bas asikilizie upepo ake vyny unakuaga
Jamaa anapotea ivo, as funs lazima tutoe opinions zetu kuhusu kazi zinazotokaUsimpangie hisia.
Hata ukiwa mkulima yanini uendelee kupanda mapapai wakati unajua pesa zipo kwenye mananasi?
Jamaa anapotea ivo, as funs lazima tutoe opinions zetu kuhusu kazi zinazotoka
Acha matusi ya kishamba weRoma sio mwanamuziki ni mtafuta umaarufu kunuka tu