Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

Ila kama anajihusisha na hayo mabifu personally basi hana huo uwezo "mkubwa"kama ulivyosema nadhani kutakuwa na mtu mwingine mwenye uwezo mkubwa zaidi anaempa hizo akili kubwa ila hizi za kupambana na dogo janja au aslay ndio zake
 
Fwalwa kanywe uji ulale kwa bosi wako. Hujaumiza akili kujiuliza kwanini hao wanamuziki nguli wamlalamikie na sasa hawa wadogo wa juzi tena? Halafu kwa ufwalwa wako unamuita bosi!
 
Mi nmecheka sana hapo kwenye kwan "fulani ni fulani wako".
Dah JF idumu milele
 
Tukiachana na sakata la Sugu.

Mengine yote Umeongea uKweli mtupu.
 
Nachokijua Ruge kazeeka kiakili ndo maana anatumia Clouds kama fimbo kwa watu anaotofautiana nao
 
Huyo ruge nimeona wasanii wengi wanamlalamikia muda mrefu sikutilia maanani. Ila nahisi huyu jamaa siyo mzuri sana kwa industry ya mziki Tanzania kama watu wasemavyo!
Kitu kingine kilichonifanya nimhisi ana walakini huyu jamaa ni kumuacha Zamaradi.
Wanaume huwa tunakosea, ila huwezi kukosea mara nyingi mpaka unazalisha mwanamke watoto wawili halafu ukammwaga! Ingekuwa walau mtoto mmoja basi atleast ningemuelewa lakini si mpaka watoto wawili, huku ni kumpotezea muda na future mwenzio!
Huyu jamaa ana shida na simkubali kabisa!
 
In short RUGE ni KAA kwenye tasnia ya entertainment
 
Umenena vyema mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…