Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

Huyu mlangira anavisa kma mzee wa heineken ulikua ukileta mzigo wako kutoka nje wanauzuia hata kma umelipa kodi tra
 
Mbona mnashangaa Boss Ruge?
Kuna
1. King Kiba
2. Komandoo Jide
3. Prof. Jay
4. King Majuto
5. Ndege mnana
6. Babu Tale
7. Mkubwa Fela
8. Mheshimiwa Temba
9. King Majuto
10 .......
Usisahau kwetu uswazi kama Mwanamke/Msichana akiwa na Saloon, bajaji, Baa/grocery au akiwa anafanya kazi TRA tunamwita Autie- au Da-
 
Usisahau kwetu uswazi kama Mwanamke/Msichana akiwa na Saloon, bajaji, Baa/grocery au akiwa anafanya kazi TRA tunamwita Autie- au Da-
Hahaaa.. Nimekumbuka mambo ya mitandaoni Madam fulani, Bosslady/ baby/ chick

Back to your point... Ila mitaani kuna mambo. Unashngaa saloon mtu anaambiwa, dada una pesa zako halafu hata huringi ingekuwa kina mwafulani hapo, mbona tungehama mtaa 🙂
 
Ha ha ha. JF pekeee ndio waweza cheka mpaka machozi. Pale ambapo mada inageuka kuwa "nani wako" badala ya mada husika. TGIF!!!
 
Back
Top Bottom