Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaHaha..nimeipenda hii..kwamba Professor J ni Professor wako???
hahaa wajua kuttea hoja ..hapa hatokuwa na jipyaHaha..nimeipenda hii..kwamba Professor J ni Professor wako???
kwani dazz baba ni babaako??kwani dr cheni ni dr wako?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona mnashangaa Boss Ruge?King Majuto ....
Usisahau kwetu uswazi kama Mwanamke/Msichana akiwa na Saloon, bajaji, Baa/grocery au akiwa anafanya kazi TRA tunamwita Autie- au Da-Mbona mnashangaa Boss Ruge?
Kuna
1. King Kiba
2. Komandoo Jide
3. Prof. Jay
4. King Majuto
5. Ndege mnana
6. Babu Tale
7. Mkubwa Fela
8. Mheshimiwa Temba
9. King Majuto
10 .......
Hahaaa.. Nimekumbuka mambo ya mitandaoni Madam fulani, Bosslady/ baby/ chickUsisahau kwetu uswazi kama Mwanamke/Msichana akiwa na Saloon, bajaji, Baa/grocery au akiwa anafanya kazi TRA tunamwita Autie- au Da-
Eti!Ruge bosi wako wewe.