Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

We kaka peke yako ndo unaemjua Ruge wengine wanaafiki uliweza kusema kipindo yuko hai!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha..nimeipenda hii..kwamba Professor J ni Professor wako???
Kwani baby madaha Ni baby wako?
kwani dr cheni ni dr wako?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani fulani ni fulani wako?
Hahaha kwani mkubwa fella ni mkubwa wako??
Kwani babu tale ni babu yako
kwani Dazz baba ni babaako
Kwani da mange ni dada yako
Kwan bibi Cheka ni bibi yako??
Kwani anti Ezekiel ni anti yako?
Kwani mheshimiwa temba ni mheshimiwa wako?
Kwani mzee yusuph ni mzee wako?
Kwani Kaka Kuona ni Kaka yako!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mwalimu Kashasha ni mwalimu wako!?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani baba levo ni baba yako
kwani bi kidude ni bibi yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahuni sio watu aiseeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani inspector haroon ni inspector wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…