bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Unapiga kelele kwa sababu ujapata nafasi ya kuwaibia wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya wezi hii, wezi kumkamata mwizi mwenzao? Hiyo haipo, wataishia kugawana mali ya wizi na kuuendeleza.Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani ili wasije wakavujisha kile ambacho kimefanyika.
UTATA UKO WAPI?
1. Idara gani ya serikali ilimkamata Bwana huyo usiku wa April 17, 2023?
2. Kwanini kulikuwa na uchelewi tangu taarifa ziripotiwe Takukuru?
3. Kwanini alikamatwa usiku na kuachiwa usiku huohuo?
4. Kwanini Takukuru na Polisi hawajui lolote kuhusu sakata hili?
5. Nani yupo nyuma ya Bwana huyo ambaye jina lake la kwanza linaanza na J huku jina lake la mwisho likianza na M?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
Si vijana tu, hata huko Ikulu kwa wazee, hali ni hiyo hiyo.Nchi hii kila mtu kwenye nafasi yake anatafuta namna ya kuitafuna. Ndo maana Kuna watu wapo tayari wavunje daraja wachomoe nondo wakauze, wengine utawakuta juu wanaiba mafuta ya transfoma.
Inshort hii nchi imetawaliwa na vijana wa hovyo kila idara. Malezi mabovu na ukosefu wa uzalendo vinachangia
Eeeeh babKuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani ili wasije wakavujisha kile ambacho kimefanyika.
UTATA UKO WAPI?
1. Idara gani ya serikali ilimkamata Bwana huyo usiku wa April 17, 2023?
2. Kwanini kulikuwa na uchelewi tangu taarifa ziripotiwe Takukuru?
3. Kwanini alikamatwa usiku na kuachiwa usiku huohuo?
4. Kwanini Takukuru na Polisi hawajui lolote kuhusu sakata hili?
5. Nani yupo nyuma ya Bwana huyo ambaye jina lake la kwanza linaanza na J huku jina lake la mwisho likianza na M?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
NaamHii Nchi saivi Haina mwenyew, we ukipata gepu piga tu
HahahaHEri mzee achukue chake mapema hata asipoiba mimi na wewe hatutapata chochote
Wacha tu yaibe bwana nchi limekuwa la hovyo sana hili! Hata ningekuwa mimi ningechota hela! Waziri anaagiza mabasi 200 wala hatushtuki!Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu

Hii nchi kwa sasa ni sawa na mlevi aliyelewa,akaficha kiwiliwili kichakani lakini matako yake akayaacha wazi yakiwa barabarani,,,so akina P-didy wakipita tu wanajipigia!!!Eeeeh bab
DarAu ina uhusiano na kifo cha yule dogo mfanyakazi wa TRA yule aliyefia Tanga juzi nini ? wakasema amejirusha toka ghorofani ? ,Na wanasema alikuwa kwenye harakati za kikazi kuandaa report muhimu .
Maana hii nchi inaongozwa na mafia cartels ,ukiingia anga zao wanakupoteza .
Kifo chenyewe so fishy hata investigation haijafanyika washaiimbilia kusema kwamba amejirusha ,like how ?
Huyo boss WA TRA alikuwa anafanya kazi bandari gani Tanga au Dar ?
UUnapiga kelele kwa sababu ujapata nafasi ya kuwaibia wananchi
DuuhNimeamua kuongeza nyama baada ya kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na mamlaka
Afisa huyo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anaitwa Jumbe Donald Magoti,
Magoti ambaye ni baba wa watoto watano wanaojulikana, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu serikali katika ukwepaji wa kodi.
Wafanyakazi waliofukuzwa kazi ili bwana huyo alinde siri ya kilichotokea nyumbani ni Kuluthumu na John.
Jumatatu Mei 08, 2023 majira ya saa 5:37 asubuhi kuna wanahabari walimfuata Magoti ofisini kwa nia ya kupata ufafanuzi kuhusu tuhuma zake akaomba mazungumzo hayo yafanyike nje ya ofisi, wakapanga wakutane Jack's Pub iliyopo Masaki jijini Dar saa 12 jioni.
Magoti hakutokea sehemu husika! Baada ya kupigiwa simu akawasili saa 1:42 usiku eneo la Masaki katika Bar nyingine na si ile aliyopendekeza awali!
Kabla ya kuanza mazungumzo Magoti akawataka Waaandishi kutaja jina la mtu aliyeleta habari ndio atoe majibu ya maswali atakayoulizwa, akajulishwa kuwa hilo halitawezekana, hivyo mazungumzo yakafa hapohapo.
Afisa mmoja wa mamlaka ya rushwa wa Ilala alisema analijua sakata hilo licha ya kuwa si eneo lake la kazi na kudai kuwa "Sasa suala likishafika Makao Makuu sisi huku wa ngazi ya Mkoa hatuna Mamlaka ya kulizingunzia.”
Upande wa mamlaka ya Kinondoni walisema hawana taarifa juu ya suala hilo
NAIBU DCI HUYU HAPA
Baada ya kukosa majibu ya uhakika Takukuru Ilala na Kinondoni, tulimtafuta DCP (Naibu DCI), Salehe Ambika, ambaye hakuwa na taarifa zozote kuhusu jambo hili.
Alikazimika kuwasiliana kwa njia ya simu ZCO Dar es Salaam ili kujua kama anataarifa zozote. Baada ya mazungumzo yao yaliyochukuwa takribani dakika 7 alisema suala hilo liliripotiwa Takukuru na si polisi.
"Hata hivyo mtu huyo mnaesema (Magoti) hakuwa na kiasi kikubwa mlichoambiwa. Alikuwa na milioni 40 pesa za kitanzania na Dolla 2. Pesa hizo inadaiwa alitumiwa na dada yake anaeishi nchi Ufaransa," alisema.
Akaongeza, "Kwahiyo kama mnataka kujua zaidi nendeni Takukuru ambako suala hili ndipo liliripotiwa kwa mara ya kwanza."
TAKUKURU MAKAO MAKUU
Tulikazimika kurudi tena Takukuru lakini safari hii Makao Makuu, Dodoma.
Msemaji wa taasisi hiyo nyeti ya serikali, Doreen Kapwani, alipoulizwa kama kuna taarifa kama hizo kama tulivyoelezwa na Mkuu wa Takukuru Ilala, kwa kifupi alisema, "Hatuna taarifa hii."
Magu atafufuka tu!!!Duuh
😢😢Wacha tu yaibe bwana nchi limekuwa la hovyo sana hili! Hata ningekuwa mimi ningechota hela! Waziri anaagiza mabasi 200 wala hatushtuki!