Bosi TRA anavyoitafuna nchi

Au ina uhusiano na kifo cha yule dogo mfanyakazi wa TRA yule aliyefia Tanga juzi nini ? wakasema amejirusha toka ghorofani ? ,Na wanasema alikuwa kwenye harakati za kikazi kuandaa report muhimu .
Maana hii nchi inaongozwa na mafia cartels ,ukiingia anga zao wanakupoteza .
Kifo chenyewe so fishy hata investigation haijafanyika washaiimbilia kusema kwamba amejirusha ,like how ?

Huyo boss WA TRA alikuwa anafanya kazi bandari gani Tanga au Dar ?
 
Nchi ya wezi hii, wezi kumkamata mwizi mwenzao? Hiyo haipo, wataishia kugawana mali ya wizi na kuuendeleza.
 
Si vijana tu, hata huko Ikulu kwa wazee, hali ni hiyo hiyo.
 
Eeeeh bab
 
Wacha tu yaibe bwana nchi limekuwa la hovyo sana hili! Hata ningekuwa mimi ningechota hela! Waziri anaagiza mabasi 200 wala hatushtuki!
 
Dar
 
Duuh
 
Bongo wote ni wezi na wengine wanaleta mifumo mipya kwa sababu ya kuiba tu kutengeneza mazingira magumu ili watu watoe rushwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…