Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

Hawa ndo wanawalinda mafisadi
 
Mkuu kiufupi nchi zote za Africa hakuna democracy, hivyo zinaendeshwa kibabe kupita maelezo.

Lakini miaka 50 ijayo tutaanza democracy. Na hii ni baada labda ya advancement ya technology inaweza iforce serikali kupractice democracy.

Lakini kwa sasa tuendelee tu kufa na tai shingoni.
 
Kwahyo unayoyaangalia YouTube ndio yanakuleta mbio kuja kuwambia nahuku waige,unadhani tiss wanaendelea kwa kufata movie,marekani yenyewe unayotolea mfano nao wanamatatzo ya kiintelligencia pamoja na kwamba wanahojiwa kwenye baraza la senet kama ulivyodai!.
 
Ameshaorodhesha Marekani hapo juu,wao wanamwita kwenye baraza la Seneti.
Kwahyo alichokiangalia YouTube ndio kimemleta mbio kuwashauri tiss waige!!,kwahyo marekani haina matatzo ya kiintelligencia pamoja na kwamba amejiuzulu huyo au pamoja na kwamba wanahojiwa seneti?
 

Kumbe mnataka kazi tiss si mngesema tu! kuliko kutoka povu.
 
tatizo lako kila kitu unajua wewe, anzisha blog yako ya kuelezea ufahamu wako juu ya kila jambo....
 
mtoa mada una mawazo mazuri ni vyema ukawaandikia barua ya ushauli ukiwa mtu huru kuliko kuweka jamvini
 
wacha uwoga hapa raisi ndio mkuu jemedari.wa majeshi
 
Evarist Chahali mwenyewe ni TISS maarufu kabisa, sa hivi kakimbili uscoch, ni mtoro anayewindwa sana na ex TISS wengi akiwamo membe
Vijana hawajui hilo kuwa jamaa nae ni ex intelligent officer
 
Evarist Chahali mwenyewe ni TISS maarufu kabisa, sa hivi kakimbili uscoch, ni mtoro anayewindwa sana na ex TISS wengi akiwamo membe
Ndio kusema wanashindwa kumpata?!
 
kauli za tangu mwaka 47.
 
kijana wa kinyarwanda upo?.
 
Kweli mkuu kwa bunge hili la waropokaji na wazushi hata mimi nakataa....sasa hivi bunge halina tofuati na vijiwe vya wahuni wa pale magomeni kwa jinsi wanavyozozana.....
 
Tiss wanapokea ushahidi moja moja toka kwa raia?.
Uliwai kuwapelekea ushahidi wakakwambia hawapokei? Kwanza unawajua? Unajua ofisi zao? Hebu kamilisha ushahidi wako halafu watakutafta uwape ili waufanyie kazi. Tunaheshimu mawazo yako hapa JF.
 
Si kila kinachofanyika Marekani kinafaa kuigwa Tanzania. Twende na mazingira yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…