Bosi wa mashuhushu wanaomlinda Obama alivyojiuzulu ni darasa kwa Idara yetu ya Usalama wa Taifa

Mkuu nimeptia hii thread. umenkuna Lakini ukisema bunge hiv unamaansha hili bunge linaloitetea serikali ikiwa co jukumu lake..itakuwa ngumu mfano kama katiba tu umeona ilivyofanywa.....ss hatawakipewa hiyo huoni itakuwa bure...cc niwachumia tumbo...hajar . in this country mkuu Never expect that...cc maneno meng na vjembe ...waimbataalabu tu..
 
Nakuunga mkono kiongozi kwa wabunge tulionao tena wengine wanageuza na vitanda bungeni hata nami siafiki kwa viongozi wa idara hii kuitwa bungeni.
 
Our Security Department is Powerful and one the best agency in Africa, Its better if we let them do their own task/Jobs freely, Let them be free and secret
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…