TANZIA Bosi wa VIGU trading company, Virani Joseph Mkomba afariki dunia gafla

TANZIA Bosi wa VIGU trading company, Virani Joseph Mkomba afariki dunia gafla

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
609
Reaction score
734
Bosi wa kampuni ya VIGU TRADING COMPANY inayojihusisha na huduma ya clearing and fowarding ya jijini Dar es salaam bwana Virani Joseph Mkomba maarufu kama Vigu amefariki gafla jana usiku, aliumwa gafla na alivyokimbizwa hospitali umauti ukamkuta huku.

Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye ndo marejeo yetu
1612860715391.png

Virani Joseph Mkomba wa VIGU Trading Co. Ltd
 
Back
Top Bottom