Bosi wa Wagner atangaza hatua kuu 'kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi'

Duuu utashangazwa jinsi Russia itakavyo sambaratishwa, tena Biblia ktk Daniel 11 inasema bila KUTIMIA silaha. Najua elimu hii niliyo kupa Iko juu sana kwako!! Lakini kwakuwa haya nisemayo yatatokea hivi Karibuni tu, wewe subiri kidogo tu ujionee

Huna akili una amini biblia mtumwa wa fikra
 
Duuu utashangazwa jinsi Russia itakavyo sambaratishwa, tena Biblia ktk Daniel 11 inasema bila KUTIMIA silaha. Najua elimu hii niliyo kupa Iko juu sana kwako!! Lakini kwakuwa haya nisemayo yatatokea hivi Karibuni tu, wewe subiri kidogo tu ujionee
Siyo Russia. Acha kumpotosha mwenzako.
 
Siyo Russia. Acha kumpotosha mwenzako.
Kwakuwa elimu hii ni kubwa sana kwenu, kilicho Baki msubirie utimizo na kwavile we are now living on borrowed times, ni hivi karibuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…