Boss Amtaka Wa ubani wangu

wewe si babu wa loliondo una mashaka gani wakati una kikombe cha uzima???????????????????????? au kikombe hicho ni ch akitapeli tu?
 
<br />
<br />
acha kazi.
 
Kama vipi mwambie hata wewe unamtamani sana mke wake/mpenzi wake mbadilishane akupe wife wake na wewe umpe demu wako uone kama hajatoa macho kama mjusi kabanwa na mlango
 
Kama hujamuoa, jiulize ulimpataje? ukisha jibu, jiulize huyo boss wako kitamshinda nini kumpata?

Wako ni wa ndoa ya halali, ambae si wa ndoa na wenzako wanasema wao.


Makubwa! Poleni wale ambao hamjaoa!
 
Kitakacho kuweka huru ni msimamo wa huyo mpenzi wako vinginevyo utajipa presha buree! Kutongozwa ni jambo la kawaida, kwani huko nje anatongozwa na wangapi? Au kwa sababu katongozwa na boss? Mwambie ajiheshimu na akumbuke kuwa ana mpenzi ambae ni wewe!
 
.................kimsingi ni kwamba hata nawe pia umetongozwa kama umemsikiliza................,kilichobaki ni kufanya maamuzi yawe magumu au marahisi uamuzi ni wenu............
 
Huyo wa ubani wako mnafanya wote kazi au ni imekuwaje mpaka kukawa na ukaribu wa yeye kutongozwa na bosi?
 
Huyo wa ubani mnafiki anavyo megwa na anao wapenda anakwambia? We puuzia tu
 
babu usiogope,ukiona,.muhusika kakuletea taarifa ujue ajamegwa,...kwa hiyo huyo bosi sio mbaya wako....chunguza utampata mbaya wako hiyo aliyofanya huyo wa ubani wako ni kutengeneza protective mechanism umuone amegwi kisela...
Don.
 
Acha kazi, lwan nan Boss wako unapogawaga Vikombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…