Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
wewe si babu wa loliondo una mashaka gani wakati una kikombe cha uzima???????????????????????? au kikombe hicho ni ch akitapeli tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.<br />
Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.<br />
by <br />
Babu
Kama hujamuoa, jiulize ulimpataje? ukisha jibu, jiulize huyo boss wako kitamshinda nini kumpata?
Wako ni wa ndoa ya halali, ambae si wa ndoa na wenzako wanasema wao.
.................kimsingi ni kwamba hata nawe pia umetongozwa kama umemsikiliza................,kilichobaki ni kufanya maamuzi yawe magumu au marahisi uamuzi ni wenu............Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.by Babu