Boss anapopumua

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Katika kutafuta huduma za jamii, baada ya nenda huku nenda kule nyingi, nilipewa barua inayihitaji mhuri na sahihi ya boss ili kumaliza mjadala.

Boss huyu anapatikana wizara flani, nika tinga. Secretary wa boss ni mtoto wa shost, basi kuniona tu aliniambia aunt Sky wewe nenda tu ofisini kwake, nilishamueleza jamaa utakuja.

Nimefika kwenye mlango wa ofisi, nikagonga, kimya basi nikajarubu ule mlango ulikuwa wazi, kuingia ndani nilikuta boss ametoka kupumua na ametoa hewa chafu.

Chumba kilikuwa na hali mbaya, kwa aibu hakutaka majadiliano slimwaga sahihi na mhuri na kuniacha nitoke.

Secretary hapa hakuwa na maadili, alioaaqa kupiga simu na kumtaarifu boss kuwa mgeni amefika. Kabla hamjapumya ma boss pia angalieni mazingira.
 
ni kipindi ichi xmass na pilau
 
Binafsi naona wewe ndie uliefanya makosa,ulivyoona mlango haufunguliwi ungerudi kwa sekretari wake.

Hata hivyo kupumua nikawaida tu alikua peke yake na alikadiria hewa itapotea kabla ya mgeni yoyote wa ghafla.
 
Wewe kama dokta umemshauri afanye nini ili hewa yake isiwe na harufu kali kama uliyoihemea?
 
ukaona na hichi ni kitu cha kuja kupost humu jamii forum. mbiombio zoote hizo kisa mtu kupumua.
 
maadili yameporomoka sana, hii nayo ni habari ya kuifungulia uzi ?

happy new year sky
 
Bax kama ulikuta halii kama hyo mwambia boc naxkia harufu nzurii umepuliza xpray gan ili upate kaz haraka kwan wanapenda cfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…