Boss anapopumua

Mkuu Sky huyo bosi wizarani ofisi haina AC?
Anyway. Kuna utafit mpya unaonesha kuwa gases za huo mpumuo zinapunguza stress kwa anayezinusa!
 
Duh! kumbe ulikuwa ni wewe!? Samahani sana kama nilikukwaza kwa harufu mbaya mrembo Sky. Next time hata kama sekretari amekuruhusu unione unatakiwa ugonge kwanza mlango na kusubiri nikuruhusu uingie ndani sawa bibie?
 
kuna sprayer nzuri tu, ukipumua unaipulizia halafu unakuna pua huku ukivuta hewa kama aliyekula pipi kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…