Boss hataki nifunge ndoa

Mchape na kichwa chenye ncha kali, hapo sio swala la kuuliza, anataka kichwa kimojawapo katika hivyo viwili ulivyo navyo!
 
Wengi wamenishauri nimuulize ni kwanini anafanya hivyo lakini nahisi ntachochea moto
Muite hotel Kali Sana tumia hata laki mbili anywe afurahi na kunywa afu mtonye mwambie unamheshimu.

Yaani siku hizi bana binadamu unashindwa kutatua shida ndogo ndogo.

Yaani ongea naye umwambie Nia yako. Pia awe wazo ni kwa Nini anakubana na majukumu.

Muombe umtoe out hata mwende bwagamoyo mkuu.

Mana huyo haitakiwi ukosane naye kama anakuelewa tembea nae Sana ataelewa. Mwambie na wewe unapenda uwe na familia Kama yeye alivyo.

Mana Kuna ubongo tatu kwa wanyama Ila Kuna moja tu tunawazidi wanyama sie binadamu zingine tunafanana nao yaani kazi za hizo bongo zinafanana kwa wanyama na kwa binadamu.

Ubongo namba mbili unahusika na kuzaa na parenting so huwa kila kiumbe anao
 
Mchepuko wake mtarajiwa unaota mbawa.
 
Ulikosea hapo unaoa unawatangazia colleagues wako.
We unadhani wale ndugu zako? No ni wafanyakazi wenzako.

Oa kimya kimya.
Mbona ni jambo la kawaida, Ila anachofanya bosi ndio si cha kawaida.
 
Kwahiyo hapo hujaelewa nini?
We jamaa bna we endelea hvyo hvyo kujilegeza kwa wake za watu utalambwa shingo hiyo
 
Kama hili jambo limekuwa gumu kulitatua nakushauri achana na mpango wa kuoa kwanza mpaka hapo baadaye
 
Halafu umeuliza maswali rahisi sana ambayo hata ukijijibu mwenyewe kimoyo moyo, majibu yake yangelikuwa ni hayo hayo 100%!

Duniani kote unapotaka kufanya jambo lolote la maana halafu jambo hilo likaingia viral, kulifanikisha lazima utumie nguvu nyingi, vinginevyo linavurugwa na kufa, tena na watu ambao hauwezi kutarajia!

Halafu huyo boss unaona anakupiga vita!

Wewe unaona hiyo ni vita kweli?

Nikwambie hiyo siyo vita wala siyo chuki, hayo ni mambo ya kibinadamu tu.
Haujasikia usemi usemao "hakuna binadamu aliyekamilika"?

Hayo nina uzoefu nayo na nitakupa mfano:
Tulipopata ajira, ofisini tulimkuta mama mmoja siyo boss, ni staff mwenzetu tu, kwanza alinitia jakamoyo kwa kutomuelewa.

Alinionesha haiba mbili kwa pamoja, yaani kunichukia sana na kunipenda sana kwa wakati mmoja!

Yaani tukiwa wawili ananichangamkia sana, lakini tukiwa wengi hajibu hata salamu zangu na nikawa nasikia kwa watu anawatangazia anavyonichukia!

Sasa enzi hizo nilikuwa mhuni halafu mjanja nikaona jambo hilo nilifanyie utafiti kuupata ukweli, nini tatizo, tabu iko wapi kwa mtu ambaye hanijui, simjui?

Alternative ya kwanza nikaona nimtongoze huyu mama mtu mzima na akinikataa nijue kweli ananichukia, hivyo nimburuze kwenye uongozi na visa vyake nisivyovielewa, ili akaeleze nilichomkwaza!

Nikamvizia sehemu nikampandia sound, alivyosikia matamshi yale kutoka kinywani mwangu, haiba yake ikabadilika ghafla hadi nikashangaa!

Tabasamu pana, furaha tele moyoni na cheko la wazi!

Kilichofuata sikielezi hapa, isipokuwa nachotaka kukueleza ni kuwa si kila mtu unayehisi kuwa anakuchukia, yaweza kuwa ni kinyume na unavyomfikiria!

Anaweza kuwa "hakuchukii kwa ubaya".

Na kwamba, jambo la heri unalotarajia kulifanya hivi karibuni huwa linaibua hisia za watu, wengine kwa husda na wengine kwa wivu tu kuwa "wa kuoa awe huyu", basi kijicho!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…