Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Naangalia fursa za uwekezajiBoss unaenda sehemu local Kama hizo Ambazo uchi unaanzia 5k-10k na bia 2k huku mbanano
Unataka kufungua bar?Naangalia fursa za uwekezaji
Ondoa huu uchafu. Acheni kuposti utopolo. Jikiteni international forum kuiunga mkono Israel dhidi ya magaidi Hamas.Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha.
Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki.
Mwalimu Mpwayungu Village uje nikununulie juice ya box na maji unywe mpaka upoteze fahamu.
Ukifika counter waambie wakupe order ya Boss la DP World
Mkuu ushapendeza inaonekanaOndoa huu uchafu. Acheni kuposti utopolo. Jikiteni international forum kuiunga mkono Israel dhidi ya magaidi Hamas.
Nimekuamuru mara moja ufute huu upuzi lasivyo mimi na wewe.
Unasubiri nini sasa? Ambaaa mara international moja kammon
Sifuti kenge maji wewe. Japo nakuunga mkono waarabu wa HAMAS watembezewe kichapo heavyOndoa huu uchafu. Acheni kuposti utopolo. Jikiteni international forum kuiunga mkono Israel dhidi ya magaidi Hamas.
Nimekuamuru mara moja ufute huu upuzi lasivyo mimi na wewe.
Unasubiri nini sasa? Ambaaa mara international moja kammon
Heshima kwako mkuu. Nimecheka balaaππ π€£Sifuti kenge maji wewe. Japo nakuunga mkono waarabu wa HAMAS watembezewe kichapo heavy
Poa mzee wa NordicHeshima kwako mkuu. Nimecheka balaaππ π€£
Tangu lini mwalimu akanywa bia?Mkuu bia ninazotumia apo hazipo
[emoji2]Mwalimu anakula na kunywa vumbi la chakiTangu lini mwalimu akanywa bia?
ππππ ni Visungura?Tangu lini mwalimu akanywa bia?
Au danguro?Unataka kufungua bar?
Samahani, tende umeleta?Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha.
Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki.
Mwalimu Mpwayungu Village uje nikununulie juice ya box na maji unywe mpaka upoteze fahamu.
Ukifika counter waambie wakupe order ya Boss la DP World
Tende nimeleta ila nauza.Samahani, tende umeleta?
Ha haaaTangu lini mwalimu akanywa bia?
Ya kawaidaHa haaa
Nyie machalii mna maneno makali Sana.
Naam[emoji2]Mwalimu anakula na kunywa vumbi la chaki
Ova