Boss Lady ''a-update'' kurasa yake ya instagram....

Bongo kuna drama nyingi sana kama yupo uraiani China basi hawakumkamata na unga, China ukamatwe na unga wakuachie! wakati raia wao wenyewe wanawanyonga.

Kumbe ulipoachiwa wewe hukupenda? Nenda tena ukamatwe basi ili ufurahi
 
Wema Sepetu,Jackie Cliff..
Unapokuwa na watu kama hawa halafu wana ushawishi mkubwa kwenye jamii yetu hasa kwa wasichana wadogo wanaokuwa ni hatari!
Napitia thread ya hii picha aisee kuna watu wanamtetea bila aibu halafu wengi wao usernames zao unagundua they are totally obsessed with this type of a life style!
Maisha ya kununua pochi laki mbili,kula kila siku KFC,kuhakikisha kila toleo la galaxy unalo..
Narudia ni hatari!
Hii shortcut mbaya sana!
 
Huyo Jux hana akili baada ya kufikiria watafanyaje akipewa bond yeye anataka kuwa "prove" watu kwamba Jacky yuko nje, wachina hawajamuachia bado yuko ndani na anaembebesha sembe na kumpa jeuri anaitwa jordan, wewe Jux acha ushamba Jacky hatoki leo wala kesho

Na akitoka?utajinyonga?
Live your life!
 
Na akitoka?utajinyonga?
Live your life!

Ntakasi

hivi mnaomtetea jacky mna akili timamu kweli.?
By the way naomba unisaidie MNAUPATAJE HUO U-JASIRI,NA MIMI NINA UHITAJI NISAIDIENI JAMANI..
 
Last edited by a moderator:
kwa niijuavyo bongo!huyu jackie kwa uzuri wake angeweza kuishi maisha mazuri bila kufanya kazi zaidi ya kutegemea wanaume tu kama wafanyavyo chupi chafu wengine!ila kwa ujasiri wa mtu wangu huyu wa nguvu jackie cliff akachekecha akaona siyo kesi wala nini akazama mzigoni mwenyewe....big up mwanadada jackie cliff ni ajali kazini tu acha mbwa kama ray C mwenye ngoma ikampa stress akaanza kula unga mchafu abwatuke!kama yeye mjanja angekuwa anakula kitu white cha pele ila kwakuwa mzigo hana akawa anagonga machafuchafu ya pakistan.....get rich or die tryin!
 
Mpk tumuone ndo tutaamini..otherwise kuna mtu kamuploadia picha
 
kwa niijuavyo bongo!huyu jackie kwa uzuri wake angeweza kuishi maisha mazuri bila kufanya kazi zaidi ya kutegemea wanaume tu kama wafanyavyo chupi chafu wengine!ila kwa ujasiri wa mtu wangu huyu wa nguvu jackie cliff akachekecha akaona siyo kesi wala nini akazama mzigoni mwenyewe....big up mwanadada jackie cliff ni ajali kazini tu acha mbwa kama ray C mwenye ngoma ikampa stress akaanza kula unga mchafu abwatuke!kama yeye mjanja angekuwa anakula kitu white cha pele ila kwakuwa mzigo hana akawa anagonga machafuchafu ya pakistan.....get rich or die tryin!

Unajua kuchambaaaa jamani Rayc atazimia sasaaa
 
aaaaagh nshachoka na mastory ya watu...kwani wanakataza unga usiuzwe kwa nini...hebu fikiria leo hii kama unga wa sembe ukipigwa marufuku si itakuwa deal? waruhusu kila kitu tu hata kuchinja mtu poa tu..yaani fanya unavyojisikia...shachoka kifulambute mie aaaagh
 
Bongo kuna drama nyingi sana kama yupo uraiani China basi hawakumkamata na unga, China ukamatwe na unga wakuachie! wakati raia wao wenyewe wanawanyonga.

Mbona wa jina wako alikamatwa na akaachiwa? Fadhila ni gas na bandari ya bagamoyo.. Lethal system.
 
Connection ya mihadarati iko dunia nzima...kuanzia mabalozi hadi wanabiashara marais hadi wasanii...halafu wote wanaconnection moja...
 
kwa niijuavyo bongo!huyu jackie kwa uzuri wake angeweza kuishi maisha mazuri bila kufanya kazi zaidi ya kutegemea wanaume tu kama wafanyavyo chupi chafu wengine!ila kwa ujasiri wa mtu wangu huyu wa nguvu jackie cliff akachekecha akaona siyo kesi wala nini akazama mzigoni mwenyewe....big up mwanadada jackie cliff ni ajali kazini tu acha mbwa kama ray C mwenye ngoma ikampa stress akaanza kula unga mchafu abwatuke!kama yeye mjanja angekuwa anakula kitu white cha pele ila kwakuwa mzigo hana akawa anagonga machafuchafu ya pakistan.....get rich or die tryin!
(mzigo hana akawa anagonga machafuchafu ya pakistan.....) hehehehe MUSHARAFU
 
Hii ndio Tanzaniaa nchi yenye udongo wa dhambi oooooiiiiii
 
Back
Top Bottom