Maroun MU
Member
- Jul 21, 2012
- 97
- 4
China hasa hv baridi yake unavaa nguo zaid ya nne na makoti mawili...hy picha itakuwa Jux ana jua pswrd zake za instagram akaingia na kuweka hv ila ameenda wrong cz nw ni baridi kali km angekuwa yupo full na Nguo za baridi ingekuwa kwel watanzania waliojaa china wasimuoneee basi ni Jini