Muuza Sura a u serious? Na madam nae anapandisha hayo madude. I c
labda abebeshwe mzigo miaka 20 mfululizo
[/B]
sasa unabisha ama,kwan masogange si alikuwa kabeba sembe wakasema unga,jacki nae si uyu apa,tna ndan ya mda mfupi tu
Mtoto mzuri hivi harafu mtu anamsokomeza mikete katika nnya/kabang yake kwa malipo gani?mbona wanajiharibu hawa watoto?,hawa wanastahili adhabu kali sana na ikibidi wapotezwe katika uso wa dunia hii.
wana saikolojia wanasema kuwa watu wenye akil huwa wana discuss idea, watu wenye akili za kati wana discuss matukio na watu wenye akili ndogo huwa wana discuss watu. Ni hayo tu
punda hao wanalipwa few thousands dollars,in fact less than 5000....hio 5000 dollars abebe mara ngapi achange anunue nyumba masaki???utumbo utapasuka kabla hajafika hata 100,000 dollars kama akiepuka jela.....labda MASAKI ya KISARAWE
Ngoja na mie nimbebee Kinje Mzigo this time najua hata nikikamatwa nitatoka salama tu
less than dollari 5000????'uwa serious mkuu,mzigo kama wa mabiliob ule wa masogange kuna dola elf 5 hapo,haya uyu jacki clifflifestyle alokuwa nayo ni ya kidola elf5???!!)ema lingine ila hyo amount hHAPANAA,tumtafte kinje myb atuambie rates zake zkoje,ha ha
Angalia lifestyle zao,wanaspend tu kila leo,kwa hela ipi?Hela wanapewa nzuri tu,ubebe billions upewe hela ht haifiki 10m??haiingii akilini
Aaah dah watu wabaya eti wataanza kujichukulia sheria mkononi,it sounds good a bit Ila too risk wale watu wazito bhna..kuna neighbour zetu apa wamepanga they are too young ila bata wanazokula ni Nouma aiseeh dah nyie Aachen waendelee kuuza, mastaa wa kike wanagongwa sana na jamaa..kila week magari ya kifahar yanaingia toka bandarin,ni nouma aiseeh dah sio siri had Mda mwingine nataman niwe rafik Zao sema hawazoelekag ovyo wale..wanaish kama wafalme tupo nao jiran ila kuwaona nadra sana
ndio maana kila siku tunawaita wajinga na desparate.....unafikiri wanalipwa 100,000USD???few thousands dollars ndio maana wanabeba mpaka wanashikwa,akinunua ALTEZZA tu hela yote kwisha lazima aende atafute ya mafuta.
kwahio UNA UHAKIKA wanauza unga?
una uliza makofi polisi hehe,..