ofcourse their approach ina risk sana,bt walau mil30,20 nk haziwapigi chenga,bt dola elf 5 noo
kwahio kila kijana mwenye maisha mazuri anabadili magari na hujui anafanya nini ni muuza unga???
inategemea,mtu kama patrick ngoi tunamuona na shughuli halali,mtu kama KINJE unategemea nini kama sio sembe and all of us know it,
aah sembe siuzi mimi,ACHA NIKOMAE NA JIJI NA NJIA HALALI
inategemea,mtu kama patrick ngoi tunamuona na shughuli halali,mtu kama KINJE unategemea nini kama sio sembe and all of us know it,
aah sembe siuzi mimi,ACHA NIKOMAE NA JIJI NA NJIA HALALI
Jack alikamatwa kweli ila isssue ishamalizwa kama ile ya kina masogange na Liz imemalizwa na wenyebiashara zao kwa makubaliano na wenzetu kubadilishana na tuliowashika na pembe so balozi kukataa ni kuandaa mazingira ya kuwaaminisha watz kuwa hakuna issue ya kukamatwa JackBado hakuna uhakika wa yeye kuwa alikamatwa na madawa, hata balozi wa Tanzania huko China hana taarifa
Vipi unataka channel nn? Yeah kitaa kizima wanajua mzee,we kijana miaka 23 ukaendeshe range rover sport na Audi kama pikipiki,mbaya zaidi magari yao ni full tinted all the time..ukibahatika kuwaona physically lazima ukatangaze kwa watu,peas mbaya sana asikwambie mtu,vijana wanang'aa hatar full dharau...nilikuja kuamin nilivyokutana na mmoja wa hao vijana airport wakipokea wageni,wapo kama sita ivi wageni wenyew waarabu na wazungu apo apo nika confirm.maisha yao ni nouma
Jaman cha msingi no kuwa waangalifu tu na kumuomba mungu..maana maisha yameshakuwa magumu..Mimi soon nitaanza kuhudhuria semina aisehh..maana tumeshahakikishiwa usalama wetu..tukikamatwa china au nchi yeyote fasta tunatoka..cha msingi ni usiri wa hali ya juu..maana wengine kuuza sembe wanaona ufahari wanajitangaza kabisa
nitafute nikupe deal heaven...lol
Uogopi kabang yako,si uliona jack kanya pipi kibao tu kule Macau
Jack alikamatwa kweli ila isssue ishamalizwa kama ile ya kina masogange na Liz imemalizwa na wenyebiashara zao kwa makubaliano na wenzetu kubadilishana na tuliowashika na pembe so balozi kukataa ni kuandaa mazingira ya kuwaaminisha watz kuwa hakuna issue ya kukamatwa Jack
Hivi kwan ray c alisema nn.