babu tale kaongea ukweli ambao watu wengi mnauficha ila sirini mnajihusisha,hivi ni nani akivua shati ana chale either ulichanjwa utotoni ukiwa ujijui au umejipeleka mwenyewe kuchanjwa baada ya kuhisi usiku unapigishwa mzigo.hii inaonesha ishu za kishirikina zimetamalaki katika maisha yetu tusidanganyane
i concur with you Diva Beyonce katika hili Tale kateleza kabisa maana hii itamlenga Diamond sana kuliko yeye binafsi!
Kwakweli alitakiwa kujua yeye ana position gani kwa jamii na image yake ina muwakilisha nani? Ni ngumu watu kutenganisha ushirikina wa kufanikisha mambo yake binafsi na mambo ya Diamond hasa muziki!
Kwakweli hii kauli itamuathiri sana Diamond maana aliyesema ana yaamini haya ni manager wake mimi naamini shughuli za music wa Diamond zinafanikisha shuguli binafsi za Babu Tale!
Hii si mala yake ya kwanza kuropoka huu anao huita ukweli wake..kwakweli una muathiri Diamond zaidi kuliko yeye binafsi kama anavyo sema!
Mimi nafikiri Babu Tale anatakiwa kufunzwa nini cha kuongea kwenye media na ambacho si cha kuongea....!
Kuna watu kama T.I.D na Q -chillah walisha toa tuhuma zilizo kuwa zinaelekea kwa Diamond kuwa ana waroga..Mimi sijawai kuamini haya lakini huu ujinga wa Babu Tale unawapa sababu na credit kuamini kuwa kuna ushirikina kwenye maendeleo yake jambo ambalo lingeweza kuzuilika!
Binafsi naona huu ni ujinga wa Babu Tale ambao una muharibia Diamond reputation yake......
Tangazo tangazo.... Natafuta mganga aniague....
Ndumba oyeeee
We 'Tutatiana' ww acha tumambo twako twa kuchezea watu
Wewe hebu kwanza sahihisha jina.
. Mm nipo serious bhana..... Si ndio mila zetu waafrika
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania
Kwani shida yako nini sana sana. unaimba utoki? au unataka kuongeza nguvu za kike"
Tangazo tangazo.... Natafuta mganga aniague....
Ndumba oyeeee
Kateleza sana tu huyu Tale kwenye hili suala la kuropoka ushirikina kitu ambacho kinapigwa na jamii nzima mana kina haribu jamii,ukiachia kesi za mauaji yakiaminika ushirikina. Afikirie kabla ya kuongea hata ka MTU wake hafanyi its obvious kwa watu kuhisi kua hayo mambo yanafanyika. Na kumharibia msanii.
Hafu mastar wengi wa kibongo kwa kujifanya wanajua kusema ukweli ambao hata ni ujinga simply ili waonekane. Kuna vitu hata kama unafanya kweli havipaswi kusemwa hadharani zaidi ya kubaki binafsi na hayaihusu jamii.
Sasa hapo Tale amejidhihirisha umbumbu wake mana hizo rumours zimekua zikienea kichini chini kuwa wasanii wanalogana, ka ya kina q chief. Na watu walishayapotezea sasa kayafukua upya.
Hawa wasanii na manager wawe makini na kauli zao hata ka yametendeka maovu huko wabaki nayo. Kuyasema hadharani ni kujichafulia CV zao na reputations zao.
Vyote ulivyoandika ni kweli... Nisaidie plz
we nawe kumbe akili zako za makalioni sometimes unavyoongea kama kakuchawia wewe mbona yeye kajibu vizuri tu unajikuta nabii kumbe hamna lolote .... kila mtu anaefanikiwa mara mchawi mara fisadi mara muuza unga blah blah nyingi muwe mnaongea na vidhibiti sio midomo ya sherehe tu kama wajinga si kawa mchawi wewe basi kama unaona anafaidi hovyooooooo
mbwa wewe na akili zako mbili reasoning yako ipo negative values huko hata sifuri haijafika..... huwezi ukawa mzima mtu unacomment as if wewe ndo mganga wake au kakuchawia kwani wangapi wanakua accused........
by the way sina team ila hizi comments za kipuuzi mijitu inajiongelea as if ni mihusika 100% zinaboa.
Kinacho sikitisha zaidi ni mtu kurudia jambo hili zaidi ya mara moja wakati anajua fika kuwa image yake ni vigumu kutenganishwa na image ya Diamond kwa haraka!
Mbaya zaidi unaweza kukuta Diamond akawa yuko innocent kwenye hili lakini kwa kauli hizi za babu tale watu wakaona na yeye wale wale!
Huyu jamaa ame ni kera sana sijui anacho tafuta ni nini? Maana hii ni zaidi ya kuhitaji kuonekana mkweli....!
Ndumba oyee
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania