Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

babu tale kaongea ukweli ambao watu wengi mnauficha ila sirini mnajihusisha,hivi ni nani akivua shati ana chale either ulichanjwa utotoni ukiwa ujijui au umejipeleka mwenyewe kuchanjwa baada ya kuhisi usiku unapigishwa mzigo.hii inaonesha ishu za kishirikina zimetamalaki katika maisha yetu tusidanganyane

Hahaha hahahaha.... Hebu niunganishe nami nikachorwe tattoo za kiasili....
 
i concur with you Diva Beyonce katika hili Tale kateleza kabisa maana hii itamlenga Diamond sana kuliko yeye binafsi!

Kwakweli alitakiwa kujua yeye ana position gani kwa jamii na image yake ina muwakilisha nani? Ni ngumu watu kutenganisha ushirikina wa kufanikisha mambo yake binafsi na mambo ya Diamond hasa muziki!

Kwakweli hii kauli itamuathiri sana Diamond maana aliyesema ana yaamini haya ni manager wake mimi naamini shughuli za music wa Diamond zinafanikisha shuguli binafsi za Babu Tale!

Hii si mala yake ya kwanza kuropoka huu anao huita ukweli wake..kwakweli una muathiri Diamond zaidi kuliko yeye binafsi kama anavyo sema!

Mimi nafikiri Babu Tale anatakiwa kufunzwa nini cha kuongea kwenye media na ambacho si cha kuongea....!

Kuna watu kama T.I.D na Q -chillah walisha toa tuhuma zilizo kuwa zinaelekea kwa Diamond kuwa ana waroga..Mimi sijawai kuamini haya lakini huu ujinga wa Babu Tale unawapa sababu na credit kuamini kuwa kuna ushirikina kwenye maendeleo yake jambo ambalo lingeweza kuzuilika!

Binafsi naona huu ni ujinga wa Babu Tale ambao una muharibia Diamond reputation yake......

Kateleza sana tu huyu Tale kwenye hili suala la kuropoka ushirikina kitu ambacho kinapigwa na jamii nzima mana kina haribu jamii,ukiachia kesi za mauaji yakiaminika ushirikina. Afikirie kabla ya kuongea hata ka MTU wake hafanyi its obvious kwa watu kuhisi kua hayo mambo yanafanyika. Na kumharibia msanii.

Hafu mastar wengi wa kibongo kwa kujifanya wanajua kusema ukweli ambao hata ni ujinga simply ili waonekane. Kuna vitu hata kama unafanya kweli havipaswi kusemwa hadharani zaidi ya kubaki binafsi na hayaihusu jamii.
Sasa hapo Tale amejidhihirisha umbumbu wake mana hizo rumours zimekua zikienea kichini chini kuwa wasanii wanalogana, ka ya kina q chief. Na watu walishayapotezea sasa kayafukua upya.
Hawa wasanii na manager wawe makini na kauli zao hata ka yametendeka maovu huko wabaki nayo. Kuyasema hadharani ni kujichafulia CV zao na reputations zao.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania
 
I hope haitafikia huko..... Ni mambo tu... .
 
Kinacho sikitisha zaidi ni mtu kurudia jambo hili zaidi ya mara moja wakati anajua fika kuwa image yake ni vigumu kutenganishwa na image ya Diamond kwa haraka!

Mbaya zaidi unaweza kukuta Diamond akawa yuko innocent kwenye hili lakini kwa kauli hizi za babu tale watu wakaona na yeye wale wale!
Huyu jamaa ame ni kera sana sijui anacho tafuta ni nini? Maana hii ni zaidi ya kuhitaji kuonekana mkweli....!
 
we nawe kumbe akili zako za makalioni sometimes unavyoongea kama kakuchawia wewe mbona yeye kajibu vizuri tu unajikuta nabii kumbe hamna lolote .... kila mtu anaefanikiwa mara mchawi mara fisadi mara muuza unga blah blah nyingi muwe mnaongea na vidhibiti sio midomo ya sherehe tu kama wajinga si kawa mchawi wewe basi kama unaona anafaidi hovyooooooo

HUyo ndomo unamtetea anakufir* au?? Ebu niondolee uk*m* wako apa kama unanyony* mk** wake ni wewe na wangese wenzio mxiuuuu na ukome kunitag mbwa wewe, hovyo mama yako aliyekuzaa, unajifanya unamtetea unamjua wewe?? Mxuuuu una bahati nipo sehemu mbaya ningekunyea mpaka ungeshindwa kulala mbuzi mtu wewe
 
mbwa wewe na akili zako mbili reasoning yako ipo negative values huko hata sifuri haijafika..... huwezi ukawa mzima mtu unacomment as if wewe ndo mganga wake au kakuchawia kwani wangapi wanakua accused........
by the way sina team ila hizi comments za kipuuzi mijitu inajiongelea as if ni mihusika 100% zinaboa.

We malaya achana na mimi, kama ndomo anakunyonya mat**o ni uko mbwa kabisa wewe, tena ukome kuni quote hili jukwaa sio la bahasha wako malaya usiyekuwa na soko wewe mxieeee, unaacha kumshobekea aliyekuumba unashoboka na watu ambao ata hawajui uwepo wako, tena unikome kama ulivyokoma kunyonya dudu ya baba ako mzazi hayawani wewe, naona ulikuwa hunijui vzuri mbwa mwitu wewe
 
Kinacho sikitisha zaidi ni mtu kurudia jambo hili zaidi ya mara moja wakati anajua fika kuwa image yake ni vigumu kutenganishwa na image ya Diamond kwa haraka!

Mbaya zaidi unaweza kukuta Diamond akawa yuko innocent kwenye hili lakini kwa kauli hizi za babu tale watu wakaona na yeye wale wale!
Huyu jamaa ame ni kera sana sijui anacho tafuta ni nini? Maana hii ni zaidi ya kuhitaji kuonekana mkweli....!

Huenda yalikuwa yanaongea majini yake aliyoyabeba.

Alafu anadai ni Ramadhan..so anaongea ukweli.
 
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania

Kama tu Diamond hajihusishi na charms. Lakin kama naye chama moja. Hawawezi tengana.
 
Jf sio ya baba yako. cute b njoo uone mwanga anajitaja hadharani huku
 
Last edited by a moderator:
Kwa kauli hii ya Babu Tale, tutarajie kusikia tofauti kati ya yeye na Diamond siku za karibuni. Naamini tutasikia wameanza kugombana, na sababu kubwa itakua kauli hii tata kutafsiriwa na mashabiki pia watanzania

MI nimemuelewa babu tale wala sihitaji dictionary wala kamusi, ila ipo siku wataumbuka na uchawi wao
 
Back
Top Bottom