Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

Mimi naamini hata kuhofia/kuogopa/kuamini uchawi ni kuushiriki (ushirikina).......ni upuuzi kuamini kuwa eti waalimu wale wananyolewa, au wali unabadilika kuwa ugali blah blah blah.

Na hiki ndio kimekuwa kichaka cha kujificha sisi "ngozi nyeusi"......tukishakubaliana na huu upuuzi ndi basi tumeshamaliza....sababu za kufanya "scientific research" hakuna tena.

Vipi kama kuna wahuni wachache wanafanya huo upuuzi ili kudhoofisha elimu/ maarifa mapya yanayoathiri mazoea yao ? labda wahuni hao wanapuliza dawa za kuwalevya na kuingia ndani kuwatendea hayo....tunabakia uchawi uchawi kwa sababu za ujinga uliotujaa vichwani.

Tumekaa kusubiri tu Mzungu aliyepuuzia ujinga wetu na kutafiti Maleria ni nini, leo tunapanga foleni kupokea vyandarua vya kumdhibiti Mbu baada ya wao kutumia akili na kutuambia "hamjalogwa bali mmeumwa na Mbu jike akawaasambazia vimelea vya ugonjwa"

......so stupid....
 
Uchawi au ushirikina sio lazima uende kwa sangoma.

Unapoanza kumchukia MTU tu eti kwa sababu kakupita kimafanikio basi ushakua mshirikina na mchawi

Mmmh wala msitake kujibaraguza mchawi atabaki kuwa mchawi siku zote, hamna cha kujifanya sijui mtu akichukia maendeleo ya mtu ni mchawi, loh aibu yao, mambo yote hadharani, kujifanya nyota nyota mxiee kumbe vichawi manina zao, nimempenda tale bureee
 

Mondi mwanga sana.
 

'Mtazamo wenu', warumi na nani?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni chizi, hilo la walimu liko so real hadi serikali imeingilia kati.

Stupid urself.
 
Aiseeee......
Huu uzi mbona member mnakua wakali sana!?
 
Hili oimekua tatizo sugu sasa I don't know why?


Hili jambo najua Diamond lime mkera sana nami najua Tale ana uhuru wake kama yeye lakini alitakiwa kujua kila afanyacho inaonekana na image ya Diamond! Mimi naamini Diamond hashiriki kwenye haya lakini si wote wata amini kama mimi! Tale alitakiwa kuchunga ulimi wake na anatakiwa kujua kuwa ana tembea na image ya mtu hata akijisaidia bara barani Diamond nayeye itam athiri tuu...!
 
Mmmh wala msitake kujibaraguza mchawi atabaki kuwa mchawi siku zote, hamna cha kujifanya sijui mtu akichukia maendeleo ya mtu ni mchawi, loh aibu yao, mambo yote hadharani, kujifanya nyota nyota mxiee kumbe vichawi manina zao, nimempenda tale bureee

Ushirikina ni ubaya sana tu siku yakianza kwenda mrama ndo unashangaa aisee hata kidogo kinakua kwishney. Hata kwenye maandiko prohibited vtu vya gizani hatari sana tu.
 
Jf sio ya baba yangu....wala wako!
Mnawawekeaga watu monitor au?

+_ha haa haaa mkuu kwani mambo ya umiliki wa JF yamekujaje, kwani me nimekataza mtu kukomenti?

+me nimeshangaa bure tu kama wasangaaji wengine, kwani kushangaa shi ngapi?
 
Reactions: me1
Jf sio ya baba yako. cute b njoo uone mwanga anajitaja hadharani huku

Mamaaaaaaa weeeeeeeeeeee.
Kweli uchawi hoyeeeeeeeeee......
yaaan pona ya domo ni ukute yeye hajajihusisha kwenye ushirikina maana kisicho rizki hakiliki. Hamna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Oyooooooo watashindana lakini hawatashinda walokole kolezeni maombiii wajitaje wote kwi kwi kwiiiiiiii.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…