FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Mimi naamini hata kuhofia/kuogopa/kuamini uchawi ni kuushiriki (ushirikina).......ni upuuzi kuamini kuwa eti waalimu wale wananyolewa, au wali unabadilika kuwa ugali blah blah blah.
Na hiki ndio kimekuwa kichaka cha kujificha sisi "ngozi nyeusi"......tukishakubaliana na huu upuuzi ndi basi tumeshamaliza....sababu za kufanya "scientific research" hakuna tena.
Vipi kama kuna wahuni wachache wanafanya huo upuuzi ili kudhoofisha elimu/ maarifa mapya yanayoathiri mazoea yao ? labda wahuni hao wanapuliza dawa za kuwalevya na kuingia ndani kuwatendea hayo....tunabakia uchawi uchawi kwa sababu za ujinga uliotujaa vichwani.
Tumekaa kusubiri tu Mzungu aliyepuuzia ujinga wetu na kutafiti Maleria ni nini, leo tunapanga foleni kupokea vyandarua vya kumdhibiti Mbu baada ya wao kutumia akili na kutuambia "hamjalogwa bali mmeumwa na Mbu jike akawaasambazia vimelea vya ugonjwa"
......so stupid....