Boss wa Lake FM Aanzisha kipindi katika Clouds TV.

Watu waliofanikiwa wakieleza jinsi walivyofanikiwa? Upuuzi mtupu ndio kama ya Patrick Ngowi kwamba kwenye media ameeleza kwamba alifanikiwa kwa kuanza kuuza simu na solar kumbe behind the scene alikuwa MPIGAJI tu,Bank anadaiwa,Smuggling kwa sana mpaka dhahabu yake imekamatwa.
 
Ni MRS. DOREEN lakini hayupo kwenye mahusiano yoyote hana mtu...naomba nieleweshe hizi MRS, MR, MISS...Zinamaanisha nini?
 
Watoto wa maskini humu JF wataanza kupagawa na zile story za 'waliofanikiwa' oooh wkt niko chuo nilikua na save pocket money naenda kununua nguo za wakina dada kule makoroboi then nakuja nakuziuza kwa wanachuo nikaendelea hivyo hivyo mpk nikapata mtaji wa kufungua radio hii.

Kalagabhao, huyo binti ni mtoto wa Peter Noni ambae ni former Managing Director wa Tanzania Investment Bank (TIB) pia Managing Director of Six Telecoms Company Limited, so pesa amezikuta nyumbani alikozaliwa.

So msianze kujilinganisha nae.
 
Kabisa mkuu
 
Baba yake kapiga sana TIB,dijui kesi yake inaendeleaje yeye na dk ringo tenga
 
We ndo nimekuelewa
 
Hariss kapiga wa kike.
 
Mimi nataka kumuona huo urembo wake naturally siyo na hayo mawig
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…