Boss wa mke wangu ana moyo wa utu sana

Yaani umeleta bandiko la namna hii ili upate wachangiaji,ukijua kabisa umewatega,na hata namna ambavyo wanacomment unajua
 
Unaponda Ndoa za wake waajiriwa kijanja. Kataa Ndoa in a fake smile πŸ˜€
 
Bila Shaka hii ni weekend
Aaah!kweli ni ijumaa bhana....
Chit-chat
 
Mpangie mkeo nguo zake zote kwenye shangazi "amekamu" tayari kwa kuhamia makao mapya.Hongera sana mkuu.
NB:Vilio haviruhusiwi.
 
Huyo boss Ana kaguu ka mtoto,na wewe una kabamia πŸ™ƒπŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΆπŸŽΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…