Boss wa Rais ni Wananchi......Tuache woga.....TANZANIA tumepigwa.

Tatizo ukidai haki unapotezwa.
Watumishi wa Vyombo vya ulinzi na usalama ni raia na wana watoto watakaoathiriwa baadae na mikataba ya kishenzi inayosainiwa na Serikali ya Sasa, lakini cha ajabu badala wailinde Katiba(wasimamie naandamano ya amani yenye nia njema), wao wamekuwa wakijirahisisha kwa wanasiasa na kuchezewa Kama bendera iliyokatika kamba
 
Sisi ndo maboss tunawapishaga wafanyakazi wetu barabarani...😂
Sisi ndo maboss ukimsema vibaya mfanyakazi wako wanakukamata wanakubinya,unabinyika,unalia mpk maji utaita mma!
Huyo ndo mfanyakazi pekee anaeweza kusema mishahara itoke mapema au ichelewe!

Msijichanganye mtapigwa...😅
 
Ni makosa ya kihistoria yamefanyika,
Yaani ni matukano makubwa ya kidunia,
Katiba ya nchi yetu imefanyiwa kinyume na maumbile yake.
wananchi tunastahili heshima.
VIONGOZI WAMETUFANYIA UHAINI..
TANZANIA INATAKIWA KUKOMBOLEWA UPYA...
JESHI NI LA WANANCHI ....SI LA VIONGOZI....
NINA IMANI KUNA WANAJESHI WALIO WAZALENDO...WATATUSAIDIA .....WANASIASA NI BLAHA BLAH TU.
 
Duh...
 
Tatizo ukidai haki unapotezwa.
Watumishi wa Vyombo vya ulinzi na usalama ni raia na wana watoto watakaoathiriwa baadae na mikataba ya kishenzi inayosainiwa na Serikali ya Sasa, lakini cha ajabu badala wailinde Katiba(wasimamie naandamano ya amani yenye nia njema), wao wamekuwa wakijirahisisha kwa wanasiasa na kuchezewa Kama bendera iliyokatika kamba
Soma makala hii ya Dkt.Noordin Jella ambayo nimeichukua kutoka kwenye website yake. Nakala hii aliweka kwenye website yake mnamo June 17 2013, 04:38
Hususani soma kuhusu kazi na majukumu ya taasisi za usalama wa Taifa katika nchi za Kikomunisti au za Kijamaa, nadhani utapata kitu kipya baada ya kusoma nakala hii

[COPY&PASTE]

Je, Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Taifa Aking’oka Ndiyo Tumepona?

Gazeti la Raia Mwema la tarehe Februari 20 hadi 26, 2013 kuna makala moja iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho “Mkuu wa Usalama wa Taifa Ang’oke” , mwandishi wa makala hii ameelezea matatizo mengi yanayosababishwa au yanayosimamiwa na kitengo kwa lengo la kuuhujumu umma na kulinda maslahi ya watawala na maslahi ya wanakitengo wenyewe. Ningependa na mimi nichangie mada hii kama muhanga wa kitengo hiki kwa miaka mingi sasa, na kabla sijaanza kuchambua shughuli za kitengo chetu hiki ambacho kina jina lisilofanana na shughuli wanazozifanya ningependa kwanza nirudi nyuma nikumbuke kitengo hiki kilitokea wapi?

Kitengo chetu cha usalama wa taifa ni kitengo ambcho kiliundwa enzi zile za zama za ukomunist na kitengo hiki kiliundwa kwa kuiga muundo na taratibu zote za kitengo cha kigaidi na ujasusi cha Urusi ya zamani ambacho kilikuwa kinajulikana kama “Komitet Gasudastiveny Bezopasnost” au kwa kwa kifupi KGB. Kule Urusi hadi leo hii kuna watu ambao ukilitaja jina la KGB wanatokwa na machozi, hasa wakikumbuka mateso na dhuluma waliyofanyiwa na kitengo hicho wakati chama cha kikomunist kipo madarakani. Kitengo cha kigaidi na kijasusi cha Urusi KGB kilivunjwa mara tu baada ya kuvunjika kwa siasa za kikomunist mwaka 1991, na serikali mpya ya Russia Federation ilitisha mdahalo wa kitaifa kukijadili chama cha kikomunist na kitengo chake cha KGB ambapo mbele ya runinga ya taifa madhambi yote yaliyowahi kufanywa na KGB dhidi ya raia wasiokuwa na hatia na hujuma zote zilizofanywa dhid ya nchi ziliwekwa wazi na wahanga walilipwa fidia na kuombwa radhi.

Vitengo vya usalama wa taifa vipo kila nchi na shughuli za vitengo hivi zinategemeana na mfumo wa utawala wa nchi husika; kwenye nchi za demokrasia na utawala wa sheria wa vitengo vyao vya usalama wa taifa huwa vipo kwa kulinda maslahi ya taifa ndani na nje ya nchi husika; lakini vitengo vya nchi ambazo hazina utawala wa sheria na demokrasia ya kweli kama vile Tanzania kitengo cha usalama wa taifa huwa kinatumia jina hilo nzuri ili kuwahadaa wananchi lakini kitengo hiki madhumuni yake makubwa ni kulinda maslahi ya watawala na viongozi mbalimbali wa ngazi za juu wa serikali, na kuwadhibiti na hata kuwaangamiza wale wote waoonekana wanaweka mazingira magumu kwa watawala na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali kufanya wanavyokusudia, hata kama wanakusudia kuufanyia umma hujuma, wanaonekana wanayo haki ya kufanya hivyo kwa vile ni watawala!

Madhumuni ya kuwa na kitengo cha usalama wa taifa kwa uelewa wa Wananchi wa Tanzania (Walipa kodi) ni kama ifuatavyo: (1). Ni kulinda maslahi ya taifa: kupambana uhalifu mbali mbali; kulinda rasimali zetu; kulinda na kutetea maslahi ya jamii; kukemea maovu katika jamii; (2). Kuchunguza na kudadisi mafanikio ya kiuchumi na maendeleo kwa nchi za nje: kuleta habari ambazo zinaweza kuisaidia nchi yetu kupata manufaa ya kiuchumi, kisansi na kitekinolojia, kimaendeleo kwa ujumla; (3). Kuweza kuwachagua watu wanaoweza kuwa viongozi katika jamii: kuijulisha serikali mtu anayeonekana anaweza kutoa mchango mkubwa kwa jamii: kimawazo, kielimu, kimaarifa, na hata kiuongozi; (4). Kuweza kuwatambua wale wote wanaoweza kuhatarisha usalama wa raia na jamii kwa ujumla: majambazi; wauza na wala unga; wahaini; wabadhirifu wa mali ya umma; mafisadi; watoa na wapokea rushwa; wahujumu uchumi; magaidi; na uhalifu wa kupangwa (mafia).

Madhumuni ya kuwa na kitengo cha usalama wa taifa kwa uelewa wa watawala wa Kikomunist (Kijamaa) na wanakitengo wenyewe kama vile Tanzania na kitengo chake cha hivi sasa: (1). Kumlinda rais na familia yake ili aendelee kushikilia nafasi yake na kilinda maslahi yake binafsi (assets & cash); (2). Kulilinda jina la rais lisichafuke hata kama amejichafua mwenyewe lakini kitengo kinatakiwa kiondoe doa hilo mara moja; (3). Kumjengea rais umaarufu wakati wote na kuhakikisha kwamba kila mtu na kila sehemu anakubalika; (4). Kuwagawanya wananchi katika matabaka mbali mbali yakiwemo: Tabaka la Udini (Wakiristo na Waislamu); Tabaka la Watawala na Watawaliwa; Tabaka la Matajiri na Masikini ili waweze kuwatawala kiurahisi; (5). Kulinda maslahi binafsi (assets & cash) ya viongozi wote wa serikali hasa wale wa ngazi ya juu; (6). Kulinda siri za rais na watawala wenzie zisivuje kwa wananchi: siri tunazozungumzia hapa ni utajiri waliokuwa nao, biashara na maslahi yao ndani na nje ya nchi; pia siri zinazohusu maisha yao ya kila siku yakiwemo mambo ya kujamiiyana; (7). Kuwasafisha na kuwajengea umaarufu wale wote wanaotakiwa kuwa viongozi wa umma, hata kama alikuwa fisadi, muuza na mla unga, jambazi, mwizi, kibaka, changudoa na wahalifu wengine: watatengenezewa umaarufu wa kuchakachuliwa hadi watakate na kila mtu atawaona kwamba kweli ndiyo wanaostahili kuwa viongozi wao; (8). Kuwachafua wale wote wanaoonekana ni tishio kwa serikali na utawala wake, na kuhakikisha kwamba wananuka mbele ya jamii kwa kutengezewa shutuma za uongo za aina mbali mbali mbele ya jamii ili mradi tu waonekane hawafai; na wakati mwingine kuwatengenezea kesi za uongo na mashahidi wa uongo na mwishowe kuwafunga vifungo virefu hata wakati mwingine kifungo cha maisha; (9). Kuwawinda wale wote wanaoonekana tishio kwa serikali na kuwaangamiza kwa kila hali itakayowezekana na baada ya kukamilisha zoezi hilo jeshi la polisi litaambiwa liwatangazie wananchi kwamba aliyeangamizwa alikuwa jambazi nakadhalika; (10). Kuwinda masilahi yote ya wale wote wanaoonekana maadui wa serikali na watawala kwa ujumla na kuyaangamiza maslahi hayo moja kwa moja ikiwa ni lengo la kuwadhoofisha kiuchumi, kijamii na hata kielimu; Kutafutiwa sababu za uongo ufukuzwe kazi au kuchonganishwa na wafanyikazi wenzio msielewane na wakuone hufai una kasoro; Kukuchonganisha na ndugu zako mgombane ili ubaki peke yako, ukibaki peke yako wakikufanyizia ujambazi au hata uhalifu wa aina yoyote unakuwa huna mtu wa kukutetea; Kukusingizia na kukuchafua kwamba wewe ni mchawi ili jamii ikukimbie ubaki peke yako, ili wakikufanyia vitendo vya ujambazi unaonekane unastahili kufanyiwa hivyo; Kuwaingiza ndugu zako, marafiki zako, jamaa, na wale wote wanaokufahamu, na kama ukiwa mwalimu wanafunzi wako wote wataingizwa kwenye kitengo cha usalama wa taifa ili ubaki peke yako siku wakiamua kukuua basi hakuna wakuuliza wala wa kulia kwa vile waliokuwa wanatakiwa walie na kuuliza ni ndugu zako na marafiki zako ambao tayari ni wanakitengo na wao ndiyo waliokuua; Ikishafikia hatua kama hiyo kwamba ndugu zako, marafiki zako, jamaa zako, wanafunzi wako, na watu wote wanao kufahamu wameshaingizwa kwenye kitengo cha usalama wa taifa, basi jiandae wakati wowote ule kuuwawa kwa vili misheni imeshakamilika, na ukiuwawa ndugu zako na marafiki zako ndiyo wa kwanza kuhalalisha kifo chako; n.k

Kulingana na kazi zinazofanywa na kitengo cha usalama wa taifa nchi yetu kama ambavyo nilivyoorodheshwa majukumu 10 hapo juu ni kwamba hata kama utamng’oa mkuu wa usalama wa taifa na maafisa wote wa ngazi ya juu wa kitengo hicho, bado utakuwa hujafanya lolote, kwa vile kitengo cha usalama wa taifa ni jeshi kubwa lenye watu wengi sana ambao kwa muda mrefu wamefundishwa mafunzo mbalimbali ya kutekeleza majukumu ya mtandao kama ambavyo nilivyoorodhesha shughuli zao hapo juu! Ina maana kwamba wanamtandao wamefuzu katika fani mbalimbali na kila mmoja anajivunia kuijua na kuiweza kazi yake vizuri! Hivyo kumng’oa mkuu wa kitengo ambaye hajihusishi na vitendo vya kuteka nyara; kutesa; kuuwa; kuwekea watu sumu; kuchakachua matokeo ya uchaguzi na uwaache watu na fani zao kwenye kitengo sidhani kama watanzania watakuwa wmepona! Watanzania wataendelea kufa na kuteseka mpaka hapo tu kitengo hiki kitakapovunjwa! Lakini wakiamua kumng’oa mkuu wa kitengo kama njia kutatuma matatizo yanayowakabili wananchi ni kwamba tutapata mkuu mwingine ambaye ataendelea kuvitumia vipaji vilivyopo kuwashughulikia raia wasiokuwa na hatia.

Kulingana na uzoefu wangu na jinsi ninavyoijua nchi hii ni kwamba mwandishi wa makala hii aidha ni mtu wa usalama wa taifa ambaye ametumiwa na kitengo hicho kuiandika makala hiyo ili akinusuru kitengo badala kuvunjwa kama ambavyo watanzania wengi wanavyopendelea; basi kisivynjwe bali mkuu wa usalama wa taifa astaafu na kupewa mafao yake manono na huku akikiacha kitengo kikiendelea kuwatesa watanzania, au huyu mwandishi wa makala hii haujui kwa undani usalama wetu wa taifa kazi wanazozifanya kwa ujumla.

Mimi nahitimisha kwa kusema kwamba kulingana na uzoefu wangu asilimia tisini na nane (98%) ya matatizo yote yanayoukabili umma wa watanzania hivi leo yanasababishwa na kitengo cha usalama wa taifa na matatizo yenyewe ni kama vile: vitendo mbalimbali vya ubadhirifu wa mali ya umma; umasikini uliokithiri kwa umma wa watanzania; ufisadi wa rasimali za umma; udini kwenye sekta ya elimu na sehemu za kazi kwa ujumla; kuwagawa wananchi kwenye makundi ya imani za kidini ili wafanikishe mipango yao ya kisiasa; biashara mbalimbali haramu hapa nchini; vitendo mbali mbali vya ujambazi na hujuma mbalimbali kwa raia; kuchakuchua matokeo ya chaguzi mbalimbali hapa nchini; na mengime mengi tu! Hivyo basi kulingana na sababu hizo hapo juu za kimsingi na zenye mashiko mazuri, itakuwa si busara kabisa kuendelea kuwa na kitengo cha usalama cha namna hii, kitengo ambacho ni tishio kwa maisha ya wananchi na rasimali za taifa. Kitengo hiki lazima kivunjwe na kihamishwe toka ofisi ya rais na kupelekwa aidha wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa au wizara ya mambo ya ndani, pia lazima kitengo hiki kiundwe upya na watu wapya wenye mawazo safi na yenye tija kwa jamii.

Halafu kitengo cha usalama wa taifa cha Tanzania ni kitengo cha tabaka la watawala (asilimia kubwa ni watoto wa watawala) ambalo linalinda mali ambazo baba zao walizolifisadi taifa hili; leo kila mtawala wa nchi hii au kiongozi yeyote wa ngazi ya juu serikalini amehakikisha kwamba watoto wake wote hata kama wako 12 wote amewaingiza kwenye kitengo cha usalama wa taifa pamoja na mama yao, ili walinde utajiri wa familia yao; hivyo kulingana na ukweli huo ni kwamba hiki siyo kitengo cha usalama wa taifa kama kinavyojiita bali ni kitengo cha tabaka la watawala kinacholinda utajiri ambao baba zao wamelifisadi taifa hili!

Dr. Noordin Jella

kgb
mafia.
majukumu potofu
majukumu sahii
tiss
uhalifu kwa jamii
uhalifu wa kupangwa
utawala bora
uwajibikaji
wananchi
00

Read also

Kwa Mfumo Huu wa Nyerere; Chenge ni Msafi Sana Kuliko Mabosi Wake Wooooteeeeee…!!!!!!!

Je, Wenye Mimba Waendelee Kusoma au Wakaanze Maisha Bila Elimu..!!!???

Tume ya ACCASIA Isipokelewe kwa Ngoma, Bali Ipokelewe kwa Mabango Yenye Ujumbe Mzito…!!!!!!!

Serikali Iendelee Kukemea Tu, Lakini Wananchi Wanaoivamia Migodi Wasikamatwe..!!!!!

MAJADILIANO NA ACCASIA: Tusidai Tsh. 380 Trillioni Zilizoibiwa, Bali Tudai Madhara ya Kiuchumi…!!!!!

Kauli za Nape Zimenifanya Nihalalishe Kwamba Rais JPM Akimaliza Muda Wake, Nchi Awakabidhi Wapinzani
 
Bado utafiti unaendelea ili kubaini ni aina goni ya binadamu waliopo hapa Tanzania.
 
Shukran sana mkuu.
 
Back
Top Bottom