Boss wa Uber/bolt

Boss wa Uber/bolt

Dalali wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
326
Reaction score
464
Habari wakuu,

Baada ya kuleta uzi WA kuuza nyumba hapa Na wengi wenu kunishauri nisiuze kiufupi nimepokea ushauri wenu ndugu zangu.

Ombi langu ni hili kwenu naomba MTU yeyote mwenye Gari ambayo anataka kuifanya Uber basi anitafute huyo atakuwa boss wangu.

Malipo Ni kila wiki Na ni makubaliano ya kwamba kila wiki nitaleta hesabu Shilingi ngapi.
Leseni ya Gari ninayo.

Nina mke watoto 3 na ninalipa Kodi ya nyumba hapa jijini Dar es salaam.

Namba yangu ya simu ni 0754693556
 
Una account ya Bolt na Uber?
Hapana mkuu lakini nimefanya uchunguzi nimeambiwa unaweza kupata bila shida,
Nilichokifanya ni kurequest bolt ya Gari alafu nikaanza kumuuliza maswali juu ya Kazi hii akanipa majibu ya kuridhisha kabisa.

Baada ya mwezi nikarequest Tena Kwa maswali ya kujiridhisha,kwahiyo hiyo hapana Shaka Ni Mimi utayari wangu tu mkuu.
 
Utafanikiwa mkuu. JF kuna watu wana magari najua watakuunganisha. Be humble na patient.
 
Boss nipigie kwenye hii namba 0713294409

Gari yako nitaitunza Na tutafanya Kazi vizuri kikubwa heshima iwepo Tu.
 
Sijapata gari bado mabosi zangu.

Namba ya simu hiyo napatikana masaa 24.
 
Mkuu natumai kutimia kwa hitaji lako...
Ila uendeleapo kutafuta, pitia Huu uzi hapa. NB: ukisoma eps zote itapendeza la sivyo, hakikisha angalau unapitia epsode 1 Hadi ya 10, utapata mwongozo wa hii biashara
 
Attachments

  • Screenshot_20241021-151018.png
    Screenshot_20241021-151018.png
    151.6 KB · Views: 22
Back
Top Bottom