Boss wangu ananitaka kimapenzi la sivyo anifukuze kazi

Asante sana mkuu mungu akubaliki
 
Miaka19 sio issue kula papuchi hyo
 
Kafunga mlango na akaanza kukupasa!

Hiyo ofisi haina wateja wanaokuja hapo.

Ofisi ni kama gesti, mkishajifungia hakuna anayekuja ?

Halafu huo mshindo umempata ghafla tu, umefanya kazi muda gani hapo?

Hakujua chochote kwako, ulivyomkuna tayari anataka umuoe au ufunge ndoa?

Ulimkuta vipi ana ukame sana au ni mzoefu, hana mtu huyu pamoja na madaraka uchwara yake?

Ukijibu hayo maswali na mengine yatakusaidia kuamua kama uendelee naye au vipi.
Maana anaonekana kila akipata mjengo wa nguvu anaudandia , atadandia mingapi?? Akili kichwani...

Halafu, jinsi unavyoandika kwa ufasaha, haionyeshi ni mfanya usafi wa kawaida ... Kuna mengi kwenye stori yenu hii...😵
 
Magufuli kakazaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…