Wewe mpe mbunye hiyo halafu consider just u had a sex with Stranger. Don't u think!!....Angekua kanivutia tungeenda kwa ulaini kabisaa. afta al napenda.
Angekua kanivutia tungeenda kwa ulaini kabisaa. afta al napenda.
Usihangaike sana chukulia kama ndoto tu umwache amalize haja yake. Ukijifanya unajali ataendelea kukuganda akiona utamu!Mod mlengwa I hate you, that ban was not sexy ulinionea! I love you mod
unaerespond support@jamiiforums. Ni pm nikurushie vocha au ukipenda uje niku massage.
:focus:
Nianze kwa kujitetea. Hakuna asiependa fwedhwa hasa kama unazifanyia kazi mwenyewe. Tokana na
juhudi zangu za kazi na mvuto wa mwili wangu unaochanganya akina baba, Boss akaona kua
anipigie debe na kuhakikisha kwa namna zote nipate ile nafasi ambayo tulikua tunashindania na kaka
mwingine ambae pia ana juhudi hapo ofisini. Ila alikua na hasara moja, yeye ni mwanaume alikua ana
compete na mwanamke ambae ndio mimi.
Cutting the stori short, ile kazi niipata mimi, na katika mshahara wangu sifuri mbili zikaongeza.
Mashallah maisha yangu ni mazuri sasa hadi nimebadilisha usafiri. Boss alipokua ananifanyia
huo mpango aliniambia Erotica unajua ni nini nataka kwako sio? nikamjibu
Boss hata kama hutaki nitakulazimisha, itakua ni haki yako na hata
ungepanga kukataa nakulazimisha hadi ukubali ikiwezekana nakufuata hadi kwako
hadi ukubali ila tu ili kutoonesha kua umenipendelea tutasubiri miezi miwili
Akafurahi na mimi nikafurahi na tukaishia hapo.
Sasa miezi miwili imeisha, kani text juzi briefly erotica ahadi yetu weekend hii naomba utimize
Nikajibu Boss I was just thinking about you, weekend ni mbali, mie naomba iwe kesho tunapotoka kazini
Akajibu tena good.
Pale karibu tunataka kutoka nikafunga ofisi yangu na kumfuata. Nikakuta nae ndio anafungu ofisi.
Nikamwambia boss ahadi yetu hii hapa nikimkabidhi bahasha yenye cash ya Laki 5.
Yaliofuata hapo ni bonge la ugomvi akabadilika hadi sura utadhani simba.
Kisa??? Akaishia kuniambia it was SEX alikua akitaka na nisipo mpa ananifukuza kazi!
It is not fair!! Naomba ushauri nifanyeje?
Ushauri wa kulala nae sio suluhisho anaonekana hawezi kabisa game na mbaya zaidi hanivutii.
Mwaaaaah.:A S kiss:
Maandiko gani yanasema hivyo jamani???????? omba hata kwa kufunga even 24 hrs Mungu atakusaidia tu na kama hupendi kufanya jambo hilo kutoka moyoni Mungu atakusaidia.RUBERTS Mungu anasema anamsaidia anaejisaidia. maneno pakee hayatoshi,
nipe ni ujuzi gani nitumie ile Mungu nae anikubali na kunisaidia.
Rushwa ya ngono, wasiliana na TAKUKURU
\Mod mlengwa I hate you, that ban was not sexy ulinionea! I love you mod