Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

Boss wangu anataka kunifukuza kazi sababu ya SEX.

Kumbe unapenda kisses? na pink lips? hahahaha, sikujua...

Mwali.
Hata wewe lips zako nzuri sana zinavutia kwa Freez kiss or Melt kiss... Put a small piece of ice in your mouth then open mouth and kiss your partner...lol.
 
Last edited by a moderator:
Mwali.
Hata wewe lips zako nzuri sana zinavutia kwa Freez kiss or Melt kiss... Put a small piece of ice in your mouth then open mouth and kiss your partner...lol.
:shock: jamani ritz...
Ngoja niondoke hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kimbunga pita na huku uje kumsaidia mawazo huyu binti.
 
Last edited by a moderator:
Usimpe mwaya. Tafuta sababu yoyote nzuri ya kumpumbaza. Ukikosa nipm nikupe maujanja
 
mapenzi ni kitu pekee kinacho toka ndani ya mtu kama haujalizia ni bora ukaiacha kazi na MUNGU atakupatia kazi nzuri na yenye mshahara mkubwa zaidi dada
 
Sio sabuni hiyo kwamba inaisha, we mpe mambo akufokonyoe maisha yako yaendelee kua poa, mjini hapa.
 
usifanye hivyo MUNGU hapendi unaweza pokea laana na iyo kaz ukaipoteza,Kuwa na msimamo.
 
Mod mlengwa I hate you, that ban was not sexy ulinionea! I love you mod
unaerespond support@jamiiforums. Ni pm nikurushie vocha au ukipenda uje niku massage.

:focus:

Nianze kwa kujitetea. Hakuna asiependa fwedhwa hasa kama unazifanyia kazi mwenyewe. Tokana na
juhudi zangu za kazi na mvuto wa mwili wangu unaochanganya akina baba, Boss akaona kua
anipigie debe na kuhakikisha kwa namna zote nipate ile nafasi ambayo tulikua tunashindania na kaka
mwingine ambae pia ana juhudi hapo ofisini. Ila alikua na hasara moja, yeye ni mwanaume alikua ana
compete na mwanamke ambae ndio mimi.

Cutting the stori short, ile kazi niipata mimi, na katika mshahara wangu sifuri mbili zikaongeza.
Mashallah maisha yangu ni mazuri sasa hadi nimebadilisha usafiri. Boss alipokua ananifanyia
huo mpango aliniambia “Erotica unajua ni nini nataka kwako sio?” nikamjibu
“Boss hata kama hutaki nitakulazimisha, itakua ni haki yako na hata
ungepanga kukataa nakulazimisha hadi ukubali ikiwezekana nakufuata hadi kwako
hadi ukubali ila tu ili kutoonesha kua umenipendelea tutasubiri miezi miwili”
Akafurahi na mimi nikafurahi na tukaishia hapo.
Sasa miezi miwili imeisha, kani text juzi briefly “erotica ahadi yetu weekend hii naomba utimize”
Nikajibu “Boss I was just thinking about you, weekend ni mbali, mie naomba iwe kesho tunapotoka kazini”
Akajibu tena “good”.

Pale karibu tunataka kutoka nikafunga ofisi yangu na kumfuata. Nikakuta nae ndio anafungu ofisi.
Nikamwambia boss ahadi yetu hii hapa nikimkabidhi bahasha yenye cash ya Laki 5.
Yaliofuata hapo ni bonge la ugomvi akabadilika hadi sura utadhani simba.
Kisa??? Akaishia kuniambia it was SEX alikua akitaka na nisipo mpa ananifukuza kazi!

It is not fair!! Naomba ushauri nifanyeje?
Ushauri wa kulala nae sio suluhisho anaonekana hawezi kabisa game na mbaya zaidi hanivutii.

Mwaaaaah.:A S kiss:
Usihangaike sana chukulia kama ndoto tu umwache amalize haja yake. Ukijifanya unajali ataendelea kukuganda akiona utamu!
 
Rushwa ya ngono, wasiliana na TAKUKURU
 
andaa gazeti zuri la udaku uende nalo kwenye eneo la tukio.... mwekee vitu wazi, mkaribishe kwa bashasha aendelee kujivinjari wakati uki-peruzi udaku kwa raha zako.... let it be strictly mechanical, no emotions involved then mpe wazi kwamba deal limekuwa sealed, asikufuatefuate
 
@erotica hakika wewe ni mwandishi mzuri, ulichoandika kiendeleze hadi utoe kitabu nina hakika kitauzika na hutakuwa tena na mawazo ya kupewa kazi za upendeleo kwa kuwa u-mwanamke
 
RUBERTS Mungu anasema anamsaidia anaejisaidia. maneno pakee hayatoshi,

nipe ni ujuzi gani nitumie ile Mungu nae anikubali na kunisaidia.
Maandiko gani yanasema hivyo jamani???????? omba hata kwa kufunga even 24 hrs Mungu atakusaidia tu na kama hupendi kufanya jambo hilo kutoka moyoni Mungu atakusaidia.

Swali langu hiyo ni kampuni au ofisi ya mtu binafsi?
 
sasa fanya hivi, mwambie bosi kuwa huwezi mpa maana bosi wa takukuru ndo anapiga mzigo..tuone kama atakufata tena..akijaribu natafute nikupe plan B..ila kahadithi katamu kweli kweli..nlitegemea katakua kama page 2 hivi na kuendelea ila umekafupisha mnoo..
 
Mod mlengwa I hate you, that ban was not sexy ulinionea! I love you mod
unaerespond support@jamiiforums. Ni pm nikurushie vocha au ukipenda uje niku massage.

:focus:

Nianze kwa kujitetea. Hakuna asiependa fwedhwa hasa kama unazifanyia kazi mwenyewe. Tokana na
juhudi zangu za kazi na mvuto wa mwili wangu unaochanganya akina baba, Boss akaona kua
anipigie debe na kuhakikisha kwa namna zote nipate ile nafasi ambayo tulikua tunashindania na kaka
mwingine ambae pia ana juhudi hapo ofisini. Ila alikua na hasara moja, yeye ni mwanaume alikua ana
compete na mwanamke ambae ndio mimi.

Cutting the stori short, ile kazi niipata mimi, na katika mshahara wangu sifuri mbili zikaongeza.
Mashallah maisha yangu ni mazuri sasa hadi nimebadilisha usafiri. Boss alipokua ananifanyia
huo mpango aliniambia “Erotica unajua ni nini nataka kwako sio?” nikamjibu
“Boss hata kama hutaki nitakulazimisha, itakua ni haki yako na hata
ungepanga kukataa nakulazimisha hadi ukubali ikiwezekana nakufuata hadi kwako
hadi ukubali ila tu ili kutoonesha kua umenipendelea tutasubiri miezi miwili”
Akafurahi na mimi nikafurahi na tukaishia hapo.
Sasa miezi miwili imeisha, kani text juzi briefly “erotica ahadi yetu weekend hii naomba utimize”
Nikajibu “Boss I was just thinking about you, weekend ni mbali, mie naomba iwe kesho tunapotoka kazini”
Akajibu tena “good”.

Pale karibu tunataka kutoka nikafunga ofisi yangu na kumfuata. Nikakuta nae ndio anafungu ofisi.
Nikamwambia boss ahadi yetu hii hapa nikimkabidhi bahasha yenye cash ya Laki 5.
Yaliofuata hapo ni bonge la ugomvi akabadilika hadi sura utadhani simba.
Kisa??? Akaishia kuniambia it was SEX alikua akitaka na nisipo mpa ananifukuza kazi!

It is not fair!! Naomba ushauri nifanyeje?
Ushauri wa kulala nae sio suluhisho anaonekana hawezi kabisa game na mbaya zaidi hanivutii.

Mwaaaaah.:A S kiss:
\

Hivi kwa kumwangalia tu unaweza kujua kama huyu analiweza gamu na huyu haliwezi. Umenifanya nimkumbuke binti mmoja wa Kiganda nilikutana naye BK akawa ananiambia kuwa mimi ninakitambi kwahiyo sintaweza. Tulivyoenda kwenye chezo nikamchapa akasquirt karibu mara tatu ikabidi akae Hotelini kwangu siku tatu mfululizo. Lakini kingine alikuwa anaamini kuwa yale maji wanayomwagaga wanawake wa kihaya ni mikojo, alivyomwaga na yeye akakiri kuwa siyo mikojo ila ni maji ya kipekee yanayotokana na mahaba.

Mambo ya mvuto we kata kichwa tu au jifanye kipofu vile.
 
Back
Top Bottom