KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
wanawake mnaowaokota kwenye dansi la msondo ndivyo walivyoMzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.Matokeo kanitukania boss wangu . Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!