BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Povu ruksaHabari....
Husika na kichwa cha habari hapo juu binafsi ningependa kujua huyu bilionea anaetuwakilisha kimataifa/ulimwenguni (duniani) ni nani hasa kwa majina......
Maana huyu JF kuna tabia ya members mbalimbali kuwapa watu hadhi ya ubilionea ilihali kimataifa hawajulikani.....
Katika pitapita yangu huko mtandaoni nikakutana na hii statistics "Swali langu ni kweli Tanzania tuna bilioni mmoja tu anaefahamika duniani??
Karibuni kwa mjadala.....
View attachment 826419
Hakuna tofauti, went through wikipedia ni Mo Dewji kwa EAC 2018
Wish to know for 2017 n 2018.
We are better off being LDC with only less than 10 pct below poverty line rather than lower middle with almost half of the population living below poverty line.it is very stupid for a poor ldc country to boast of having a billionaire...this signifies inequality..a billionaire living amongst the poorest of the poor
More than 70% ?? Hahahahaha, this isn't ke brother. We share our wealth.It is very stupid for a poor ldc country to boast of having a billionaire...this signifies inequality..one billionaire living amongst the poorest of the poor...this is a country where more than 70% of the population live on less than a dollar a day...hii mali ya mtu mmoja (1 billion dollars) ingegawanywa kwa watu zaidi ingepunguza idadi ya watu walio maskini...ndio maana nakushangaa sana una boast ujinga..sijui elimu tz iko aje?ππ
inequality is never a good thing...hata nchi za ng'ambo wanajaribu kumaliza inequality....kumbuka tz is a country where more than 70% of the population live on less than a dollar a day ....sasa kuna maana gani mtu mmoja awe anashikilia mali kubwa kiasi hiki??? kisha mnasherehekea mali ya mtu...duh!!We are better off being LDC with only less than 10 pct below poverty line rather than lower middle with almost half of the population living below poverty line.
what wealth? hivi unajua tz iko miongoni mwa nchi 20 maskini kabisa duniani? ok tuseme 50% ya watz wanaishi kwa umaskini...according to these data, Tanzania has a current population of 55.57 million people. Current statistics form the World Bank show that in 2011, 49.1% of Tanzanians lived below $1.90 USD per day.More than 70% ?? Hahahahaha, this isn't ke brother. We share our wealth.
Sasa unaringa kwa sababu Muhindi anatawala Waafrika weusi. Nothing to be proud of. I will contratulate the muhindi himself but not the black mwafrikas who are the "watu wa mikono" of this guy. I will contratulate Nigeria because of Aliko Dangote.
Wish to know for 2017 n 2018.
ndio namwambia sio kitu nzuri kuwa na mtu mmoja anashikilia mali kubwa kiasi hicho ndani ya nchi maskini....ingekuwa SA, Nigeria, Egypt au nchi za ulaya ingeeleweka ila tz bado nchi maskini sana...hata ingekuwa Kenya, hakungekuwa na chochote cha kusherehekea hapo...ni jambo la kusikitisha sanaSasa unaringa kwa sababu Muhindi anatawala Waafrika weusi. Nothing to be proud of. I will contratulate the muhindi himself but not the black mwafrikas who are the "watu wa mikono" of this guy. I will contratulate Nigeria because of Aliko Dangote.
That's wikipedia for you, at the same time population below poverty line in 2016 for ke and tz is 36%+ and 22% respectively.what wealth? hivi unajua tz iko miongoni mwa nchi 20 maskini kabisa duniani? ok tuseme 50% ya watz wanaishi kwa umaskini...according to these data, Tanzania has a current population of 55.57 million people. Current statistics form the World Bank show that in 2011, 49.1% of Tanzanians lived below $1.90 USD per day.
ok continue celebrating because of the wealth of a mhindi ila wewe hapo upo Tandale umekabwa na maishaππwaswahili huwa mnasema chako ni chako cha kakako si cha kwako....huyu mhindi hata sio ndugu yako ila unafungua uzi kusherehekea mali yake...duh!! au untaka akupe kazi?That's wikipedia for you, at the same time population below poverty line in 2016 for ke and tz is 36%+ and 22% respectively.
I am here for the fact that our LDC has one more billionaire than a so called Lower middle, sijali kama ni mchina au muhadzabeok continue celebrating because of the wealth of a mhindi ila wewe hapo upo Tandale umekabwa na maishaππwaswahili huwa mnasema chako ni chako cha kakako si cha kwako....huyu mhindi hata sio ndugu yako ila unafungua uzi kusherehekea mali yake...duh!! au untaka akupe kazi?
Very true. There is simply no way any LDC country a.k.a shit-hole countries, should have a dollar billionaire. Tanzania has a Gdp of $55 billion halafu huyo muhindi ako na $1.1 billion. 1.1/55 Γ 100 = 2%. Huyo muhindi anamiliki asilimia mbili ya uchumi wa Tanzania, halafu hawa watu wanakuja huku kusherehekea. I agree with you, there is nothing to celebrate here.ndio namwambia sio kitu nzuri kuwa na mtu mmoja anashikilia mali kubwa hivyo kwa nchi maskini....ikija SA, Nigeria, Egypt au nchi za ulaya inaeleweka ila tz bado nchi maskini sana...hata ingekuwa Kenya, hakungekuwa na chochote cha kusherehekea hapo
Mo Dewji ana maviwanda makubwa Tz na mengi, na Ameajiri ma elfu ya watu, kwa sheria ya Tanzania, Mgeni haruhusiwi kufanya kazi ambayo Mtanzania anaweza kuifanya. Amewekeza kila sehemu, kwenye Nguo, vyakula, vinywaji, michezo (SIMBA FC CEO) na Bidhaa kibao ambazo tunatumia kila siku, kiufupi Utajiri wake unawasaidia sana Watanzania.what wealth? hivi unajua tz iko miongoni mwa nchi 20 maskini kabisa duniani? ok tuseme 50% ya watz wanaishi kwa umaskini...according to these data, Tanzania has a current population of 55.57 million people. Current statistics form the World Bank show that in 2011, 49.1% of Tanzanians lived below $1.90 USD per day.
true...developed nations are trying to fight inequality ila hawa 4th world shithole country wanasherekeea mali ya mhindi..this is called goals...having different goalsVery true. There is simply no way any LDC country a.k.a shit-hole countries, should have a dollar billionaire. Tanzania has a Gdp of $55 billion halafu huyo muhindi ako na $1.1 billion. 1.1/55 Γ 100 = 2%. Huyo muhindi anamiliki asilimia mbili ya uchumi wa Tanzania, halafu hawa watu wanakuja huku kusherehekea. I agree with you, there is nothing to celebrate here.
Fanya hesabu. Wacha POROJOThat's wikipedia for you, at the same time population below poverty line in 2016 for ke and tz is 36%+ and 22% respectively.
Fake. Go through data.worldbank.org halafu ndo uje kuargue.Fanya hesabu. Wacha POROJO View attachment 826678
By now they r around threeSasa unaringa kwa sababu Muhindi anatawala Waafrika weusi. Nothing to be proud of. I will contratulate the muhindi himself but not the black mwafrikas who are the "watu wa mikono" of this guy. I will contratulate Nigeria because of Aliko Dangote.
Sasa unaringa kwa sababu Muhindi anatawala Waafrika weusi. Nothing to be proud of. I will contratulate the muhindi himself but not the black mwafrikas who are the "watu wa mikono" of this guy. I will contratulate Nigeria because of Aliko Dangote.