BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
According to Forbes 2016 only one $ billionaire was from EAC.
Povu ruksaHabari....
Husika na kichwa cha habari hapo juu binafsi ningependa kujua huyu bilionea anaetuwakilisha kimataifa/ulimwenguni (duniani) ni nani hasa kwa majina......
Maana huyu JF kuna tabia ya members mbalimbali kuwapa watu hadhi ya ubilionea ilihali kimataifa hawajulikani.....
Katika pitapita yangu huko mtandaoni nikakutana na hii statistics "Swali langu ni kweli Tanzania tuna bilioni mmoja tu anaefahamika duniani??
Karibuni kwa mjadala.....
View attachment 826419