Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wikipedia of all the sources?Hakuna tofauti, went through wikipedia ni Mo Dewji kwa EAC 2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wikipedia of all the sources?Hakuna tofauti, went through wikipedia ni Mo Dewji kwa EAC 2018
I regret it already, I should have gone to Forbes direct.Wikipedia of all the sources?
It is very stupid for a poor ldc country to boast of having a billionaire...this signifies inequality..one billionaire living amongst the poorest of the poor...this is a country where more than 70% of the population live on less than a dollar a day...hii mali ya mtu mmoja (1 billion dollars) ingegawanywa kwa watu zaidi ingepunguza idadi ya watu walio maskini...ndio maana nakushangaa sana una boast ujinga..sijui elimu tz iko aje?😛😛
tulia wewe povu la nn kwani nyie hakuna hao wahindi huko kwenu ebu niambie mkenya mwenye asili ya kiafrika mwenye pesa nyingi ili na sisi tukuletee a black afrikan ambae ni mtanzania mwenye pesa nyingiKuna Mhindi fulani wanamuabudu sana kisa anawawakilisha kwenye ubilionea ilhali wao maskini wa kutupwa, nakumbuka benki kuu ilionyesha 70% kati yao ni maskini balaa.
R u trying to say Rostam n Mengi r not worthing over a $1 bln?Kuna Mhindi fulani wanamuabudu sana kisa anawawakilisha kwenye ubilionea ilhali wao maskini wa kutupwa, nakumbuka benki kuu ilionyesha 70% kati yao ni maskini balaa.
katika list ya Matajiri wakubwa watano wa Kenya watatu wote ni wenye asili ya bara Asia yaan wahindi na waarabu sasa tena wanaitajiri wa dollar millions sasa kwann nyie povu linawatoka nchi yenu kutokua na billione dunian na mnajisifu kila siku mnauchumi wa kati hamuoni nchi zingine zenye uchumi mkubwa afrika zote zimetoa atleast billionea??Very true. There is simply no way any LDC country a.k.a shit-hole countries, should have a dollar billionaire. Tanzania has a Gdp of $55 billion halafu huyo muhindi ako na $1.1 billion. 1.1/55 × 100 = 2%. Huyo muhindi anamiliki asilimia mbili ya uchumi wa Tanzania, halafu hawa watu wanakuja huku kusherehekea. I agree with you, there is nothing to celebrate here.
Nyani haoni kundule!katika list ya Matajiri wakubwa watano wa Kenya watatu wote ni wenye asili ya bara Asia yaan wahindi na waarabu sasa tena wanaitajiri wa dollar millions sasa kwann nyie povu linawatoka nchi yenu kutokua na billione dunian na mnajisifu kila siku mnauchumi wa kati hamuoni nchi zingine zenye uchumi mkubwa afrika zote zimetoa atleast billionea??
tatizo nn kwenu huko wazee middle income haina atamtu anaemiliki uchumia wa dollar billion hahahaha ni aibu acheni kuwa kama nyani hamuoni kundu zenu mnacheka za wenzenu hahaha
Top 5 Richest People In Kenya And Their Net Worth
1. Bhimji Depar Shah | $700 Million USD
A Kenyan businessman. The founder and current chairman of BIDCO Group of Companies, a Kenya-based, family-owned manufacturing conglomerate with businesses in 13 African countries.
2. Naushad Merali | $550 Million USD
This Kenya great son was born on the 01-01-1951 in Nairobi, Kenya. A businessman and an industrialist who is said to be the founder of Kenyan mobile service provider Kencell along with French media giant Vivendi.
3. Uhuru Kenyatta Net Worth | $500 Million USD
The son of Kenya's first president, Jomo Kenyatta, Uhuru Kenyatta is one of the most privileged person in Kenya who had never seen hardship in his life. Uhuru is the current president of Kenya
4. Chris Kirubi | $300 Million USD
This is an an individual with many attributes to his personality and business life, Kirubi is a businessman doubled as industrialist and philanthropist.
5. Atul Shah Net Worth | $290 Million USD
Atul Shah is the Managing director and Chief Executive Officer of the Nakumatt Holdings Limited, the largest privately owned supermarket in Kenya, Uganda, Tanzania, and Rwanda.
[emoji767] 2014 - 2018 Constative.com All Rights Reserved
Tajiri namba moja,mbili na tano wote ni wenye asili ya asia sasa kwann wakenya wanatokwa mapovu kwa Modewji ???
ni wivu tuu