Hii Comment ningekuwa moderator ningeipinNjia pekee ya huu mwarubaini ni kutumia digital currency crypto bitcoin as legal tender.
Kweli kabisahilo ni Jambo Muhimu sana,
hata hivyo noti za Tanzania ni imara zaidi, ile muhimu hapo inasisitizwa ni heshima, usafi na unadhifu unapoishika na kuihifadhi noti ili kutunza ubora na thamani yake 🐒
sio umekamata grisi unashika noti unaitia mfukoni imejikunja kunja, umelowana mafuta au maji unashika noti unaitia mfukoni imekunjamana n.k
AiseeeUlaji utatoka wapi wakiongeza ubora wa noti ??? Noti hizi zina ubora duni ili kutengeneza madili ya mara kwa mara ya kuchapisha noti mpya. Wanapochapisha Noti mpya hapo hapo ndipo wanapata nafasi ya kuchapisha noti kwa idadi ya ziada na Kisha hizo noti za ziada zinachepushwa na kuzichukua wao binafsi na kuziweka mifukoni mwao. Hukusikia ile skendo ya kutoroshwa bandarini kwa makontena manne yaliyobeba noti mpya zilizochapishwa huko Ulaya na Kisha kusafirishwa hadi bandari ya Monrovia kule nchini Liberia??
Hii ni Afrika!Aiseee
Huna akili, huko Kilosa wakati wa kununua mahindi utaenda na digital currencies zako kununua mahindi kwa wakulima?Njia pekee ya huu mwarubaini ni kutumia digital currency crypto bitcoin as legal tender.
Nimeipenda hiiWanaoongoza kuchakaza noti ni wamama wa mboga wanafunga kwenye mafundo ya kanga
Ila makonda wapewe heshima yao kwa kuzinyoosha na kuweka kwenye kuzipanga vizuri