mfumo wa pesa za kidigitali Yani Crypto Currency.
Hizi ni kauli tatanishi.Hivyo tuchangamkie fursa ya crypto currency nchini Tanzania.
Asante hatua nzuriBenki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa ya muelekeo wa kuanzisha mfumo wa pesa za kidigitali Yani Crypto Currency. Fedha hizo zitatolewa tu na benki Kuu na sio chanzo kingine...
Basi tatizo liko kwa mtoa taarifa / mleta thread, kwa kushindwa kubainisha tofauti y7a crypto na CBDC.Mimi sijajitungia mkuu, taarifa imeonesha wazi Ni CBDC na wakonesha kwenye ufafanuzi crypto currency
Basi tatizo liko kwa mtoa taarifa / au hili bandiko.
Kimsingi hii sio habari mpya.
Iko tangu mwaka jana mwezi may /June
Hivyo hata heading ya thread inapaswa kuwa na neno CBDC. na sio neno crypto. Ukiweka neno crypto maana yake hujui kitu unachokitolea meleezo trust me
View attachment 2481562
Nilitaka kushangaa.Hizi ni kauli tatanishi.
Maelezo yalipaswa kuishia kwenye Central Bank Digital Currency (CBDC) tu.
Hilo neno crypto currency futa, halina mantiki hapo, maana taarifa inakuwa ya uongo.
=
Je unafahamu tofauti ya Cryptocurrency na CBDC?
=
"Cryptocurrency is a decentralized digital currency that uses cryptography for security, and is not controlled by any government or institution.
While CBDC is a digital version of a country's fiat currency, issued and backed by the country's central bank, intended to coexist with cash and bank deposits and to be used for various transactions, such as paying bills and making purchases."
Umeona sasa unazungumzia CBDCIngawa wao ndio watairegulate.
Haya maelezo ni sahihi, kwa mlengo wa CBDCNajaribu kuupload taarifa. Inagoma. BoT wamefafanua vizuri kuhusu Crypto. Ingawa wao ndio watairegulate. Hivyo Kuna mechanisms watazitumia kutofautisha crypto yao na zingine. Crypto ya Central Bank itakuwa regulated.