mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm proud of my dona kantiri baba[emoji3]mama inabidi nikutoe huko
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
BOT wamedhamiria kutuua.Pesa yetu ni bora kuliko China na kwengineko duniani, sisi ni dona kantiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv pesa zetu tunatengenezea wap vileeeWametumia kipimo gani kuthibitisha wakati wazungu wenye uwezo mkubwa wanahamasishana watumie e money kuepusha cash maana zinaweza kusambaza?
Duuh Siasa hadi Bank!!! Haki ya MUNGUView attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Mtamuelewa Zitto aliposema tatizo ushamba.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣
Mbavu zangu jamani sijawahi kuona serikali inayodanganya raia wake kama hii Hahahahahhahahahahhahahaaaaaiiiii Toba!
Mimi pia ninaamini sana kwamba upo, ili nikiringanisha hali ilivyo kwa wenzetu na huko kwetu unaweza ukapata hisia kwamba we have better awareness, coordination na Health Systems, nadhani kuna mchezo unaendelea upande wetu au hatuna kabisa uwezo juu ya hili.Ugonjwa huu upo ,denial haiwezi kutusaidia kuepukana na maafa . Zaidi ya watu 400 wamefariki jana(hesabu ya siku) Italy.
View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.
Kama ndivyo basi wananchi tugaiwe noti ili tuzishike mikononi badala ya kunawa na sabuni kila mara ili kutupunguzia gharama.View attachment 1392836
Benki Kuu ya Tanzania imesema noti za Tanzania zimetengenezwa kwa namna ambayo haziwezi kuhifadhi virusi.