Rais Samia Suluhu ameikuta nchi ikiwa katika hali mbaya ya kiuchumi lakini yeye ameweza kupandisha uchumi huyu mama 2025 hana mpinzaniNawasalimu kwa jina la JMT,
Kwa mujibu wa Gavana wa BOT Prof. Luaga, uhumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 5.4% kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022 kinyume na malengo ya matarajio yaliwekwa ya ukuaji wa asilimia 4.7%.
Moja ya sekta zilizochangia ukuaji mkubwa ni kuimarika kwa sekta ya utalii.
Kwa mwendo huu "The future is bright na nchi iko kwenye right track", in Jiwe's voice.
Kongole nyingi sana kwa Rais Samia na Waziri wa Fedha Comrede Mwigulu.πView attachment 2367489View attachment 2367490