BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

BOT: Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 5.4%. Hongera Rais Samia, hongera Comrade Mwigulu

Kwanini tujilinganishe na waliochoka. Uzuri wa hali haulinganishwi na wenye hali mbaya zaidi inabidi tujicompare na wenye hali nzuri.
Tutajie waliofaulu Ili tujilinganishe nao..

Maana kama ni Hawa hapa Chini huko kwao Hali ni mbaya zaidi mfumuko wa bei ni double digit ndio maana hawaishi kuandamana hovyo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221018-123920.png
    Screenshot_20221018-123920.png
    236.9 KB · Views: 1
Tutajie waliofaulu Ili tujilinganishe nao..

Maana kama ni Hawa hapa Chini huko kwao Hali ni mbaya zaidi mfumuko wa bei ni double digit ndio maana hawaishi kuandamana hovyo 👇
Wananchi hatulalamiki kwa kujiringanisha na hao tunalalamika kwa kulinganisha wakati uliopita na sasa na kuangalia ambao wana nafuu.
Haya mambo ya kujificha kwenye chaka la kutuletea waliofeli naona yamekuwa ndo njia ya utetezi nchi hii kwenye kila kitu
 
Wakati uliopita sio wakati wa Leo,wakati uliopita kulikuwa na maskini wengi kuliko Sasa maana mazo yote ya wakulima yalikuwa yameanguka Bei..

Kwa hiyo huwezi waambia wakulima warudi Misri hiyo haipo kama unalalamika kazana kulalamika.
 
Kwani unadhani mimi naishi Burundi?
Hata ungeishi Ulongoni B ila ukweli ni kwamba there is much appreciation of our strong economy from trusted World Institutions 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221021-071847.png
    Screenshot_20221021-071847.png
    54.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom