The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #141
Tutajie waliofaulu Ili tujilinganishe nao..Kwanini tujilinganishe na waliochoka. Uzuri wa hali haulinganishwi na wenye hali mbaya zaidi inabidi tujicompare na wenye hali nzuri.
Maana kama ni Hawa hapa Chini huko kwao Hali ni mbaya zaidi mfumuko wa bei ni double digit ndio maana hawaishi kuandamana hovyo 👇