BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Haya sio maneno yangu niaelezo ya Benki Kuu ya Tanzania ,BoT..

Kwamba Makisio ya mwaka 2022 yalikuwa ni ukuaji wa Asilimia 4.7% lakini Hadi Desemba mwaka 2022 Ukuaji ulikuwa Asilimia 5% na hivyo Kupita matarajio yaliyowekwa kabla..

Rais Samia na Mwigulu wanazidi kufanya Wonders na kuwaziba midomo Wapinzani wao..

Haters Ruksa mapovu ya kujifariji.

Nimepitia maoni ya wachangiaji wote hadi hapa, nimeona walioridhia hiyo ripoti ya BoT ni asilimia 15 wakati walioipinga ni 85%

Kwahiyo BoT mnatakiwa kutoa ripoti inayoakisi hali halisi, hauwezi kusema Uchumi umekuwa wakati hali za maisha ziko Chini. Still watu wanakula milo miwili
 
Wengi wa wapingaji ni HKL,HGK na HGL,unategemea nini hapo
 
Uzi wa kinafiki nafiki,kwa hiyo SAMIA na mwigulu pekee ndio walisababisha huo uchumi kukua?
 
Back
Top Bottom