BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

BoT: Uchumi wa Tanzania Umekuwa Kwa Kasi ya Asilimia 5% Mwaka 2022 Tofauti na Matarajio

Huo uchumi unakulia eneo gani hebu tupeni ufafanuzi maana tunatiana hasira tu kwa sasa.
 
Nimepitia maoni ya wachangiaji wote hadi hapa, nimeona walioridhia hiyo ripoti ya BoT ni asilimia 15 wakati walioipinga ni 85%

Kwahiyo BoT mnatakiwa kutoa ripoti inayoakisi hali halisi, hauwezi kusema Uchumi umekuwa wakati hali za maisha ziko Chini. Still watu wanakula milo miwili
Magufuli aliharibu Nchi kuefahamu uhalali was takwimu ni vigumu sana,B.O.T sio tena taasisi ya kuaminiwa kutokana na taarifa zake.

Taasisi inayoendeshwa na siasa in ngumu sana kuujua ukweli,na mbaya zaidi Mh.SAMIA naye amerithi chembechembe za kujikweza na kupenda sifa kutoka kwa Magufuli.

Ukuaji wa Uchumi lazima uakisi maisha ya watu.
 
We jamaa ilikuaje uchumi wa taifa uliokuwa na ukuaji mkubwa barani Afrika according to data za CCM few days ago utoke ghafla kwenye 7 mpaka ukafika kwenye 4 na sasa matarajio yawe 4.7 na sasa tumeupiga mwingi na kufika 5 tushangilie oyeee! uoni huu ni utoto na mnatuchota ufala?
Few days ago zipi? Hiyo taarifa ya 7% wewe umeitoa wapi au ni ya mwaka gani?
 
Magufuli aliharibu Nchi kuefahamu uhalali was takwimu ni vigumu sana,B.O.T sio tena taasisi ya kuaminiwa kutokana na taarifa zake.

Taasisi inayoendeshwa na siasa in ngumu sana kuujua ukweli,na mbaya zaidi Mh.SAMIA naye amerithi chembechembe za kujikweza na kupenda sifa kutoka kwa Magufuli.

Ukuaji wa Uchumi lazima uakisi maisha ya watu.
Kuna haja baadhi ya mambo tuache Taaluma ifanye kazi, Saivi viongozi wengi wanatekeleza Majukumu yao kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa Kisiasa.
 
Magufuli is no more here,taarifa zinazotoka ni sahihi na Zina reflect Serikali inachofanya Serikali.

Wewe shida Yako hasa ni ipi? BoT wapike taarifa Kwa Ajili ya nini hasa?
 
Kuna haja baadhi ya mambo tuache Taaluma ifanye kazi, Saivi viongozi wengi wanatekeleza Majukumu yao kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa Kisiasa.
Huu uzushi Huwa inawasaidia nini hasa? Kwamba unaweza toa taarifa ya uongo wakati ukijua ni kosa linaweza kukugharimu?

Kwamba unataka BoT iseme uchumi umeshuka ndio utaelewa au?
 
Takwimu za kupikwa muasisi wake mkuu alikua jiwe, naona mnaendelezeleza alipoishia.
 
Kuna wakati tulilishwa kasa na last regime na tukaambiwa iko hivyo. Hofu yangu isijejirudia yaliyopita ili tu kupata political mileage
 
"Wapo watanzania ambao wangependelea kusikia habari mbaya za nchi yao ndio wafurahi"
TUWASHINDE KWA KUWAONYESHA VITENDO, CCM NA VIONGOZI NA KIONGOZI MKUU DR. SAMIAH,KAZI WANAIWEZA NA TAIFA LINAKWENDA MBELE.
 
Back
Top Bottom