Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli aliharibu Nchi kuefahamu uhalali was takwimu ni vigumu sana,B.O.T sio tena taasisi ya kuaminiwa kutokana na taarifa zake.Nimepitia maoni ya wachangiaji wote hadi hapa, nimeona walioridhia hiyo ripoti ya BoT ni asilimia 15 wakati walioipinga ni 85%
Kwahiyo BoT mnatakiwa kutoa ripoti inayoakisi hali halisi, hauwezi kusema Uchumi umekuwa wakati hali za maisha ziko Chini. Still watu wanakula milo miwili
Wakikusikia wenyewe itakuwa balaa hapa 😅Wengi wa wapingaji ni HKL,HGK na HGL,unategemea nini hapo
Few days ago zipi? Hiyo taarifa ya 7% wewe umeitoa wapi au ni ya mwaka gani?We jamaa ilikuaje uchumi wa taifa uliokuwa na ukuaji mkubwa barani Afrika according to data za CCM few days ago utoke ghafla kwenye 7 mpaka ukafika kwenye 4 na sasa matarajio yawe 4.7 na sasa tumeupiga mwingi na kufika 5 tushangilie oyeee! uoni huu ni utoto na mnatuchota ufala?
Kuna haja baadhi ya mambo tuache Taaluma ifanye kazi, Saivi viongozi wengi wanatekeleza Majukumu yao kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa Kisiasa.Magufuli aliharibu Nchi kuefahamu uhalali was takwimu ni vigumu sana,B.O.T sio tena taasisi ya kuaminiwa kutokana na taarifa zake.
Taasisi inayoendeshwa na siasa in ngumu sana kuujua ukweli,na mbaya zaidi Mh.SAMIA naye amerithi chembechembe za kujikweza na kupenda sifa kutoka kwa Magufuli.
Ukuaji wa Uchumi lazima uakisi maisha ya watu.
Magufuli is no more here,taarifa zinazotoka ni sahihi na Zina reflect Serikali inachofanya Serikali.Magufuli aliharibu Nchi kuefahamu uhalali was takwimu ni vigumu sana,B.O.T sio tena taasisi ya kuaminiwa kutokana na taarifa zake.
Taasisi inayoendeshwa na siasa in ngumu sana kuujua ukweli,na mbaya zaidi Mh.SAMIA naye amerithi chembechembe za kujikweza na kupenda sifa kutoka kwa Magufuli.
Ukuaji wa Uchumi lazima uakisi maisha ya watu.
Huu uzushi Huwa inawasaidia nini hasa? Kwamba unaweza toa taarifa ya uongo wakati ukijua ni kosa linaweza kukugharimu?Kuna haja baadhi ya mambo tuache Taaluma ifanye kazi, Saivi viongozi wengi wanatekeleza Majukumu yao kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa Kisiasa.
Good Leadership of her excellency Madam President na Sera nzuri za Wizara ya Fedha .Uzi wa kinafiki nafiki,kwa hiyo SAMIA na mwigulu pekee ndio walisababisha huo uchumi kukua?
Wewe ukiona haya hapa yakitokea unaelewa nini labda?Huo uchumi unakulia eneo gani hebu tupeni ufafanuzi maana tunatiana hasira tu kwa sasa.
😁😁😁😁😁😁Wengi wa wapingaji ni HKL,HGK na HGL,unategemea nini hapo
SawaTakwimu za kupikwa muasisi wake mkuu alikua jiwe, naona mnaendelezeleza alipoishia.
Kuna tatizo kwani?Mbona km Sunk Cost Fallacy kwa huu mwandiko?
Kwa nini una shida za kuamini taarifa rasmi?Kuna wakati tulilishwa kasa na last regime na tukaambiwa iko hivyo. Hofu yangu isijejirudia yaliyopita ili tu kupata political mileage
Hapana mkuu maadam unaendelea kusifia baada ya kulamba uteuzi ni jambo zuri sana. Uzuri wako huwa unasifia kwa kuambatanisha na data and facts though unapigwa vita sana na wahuni na wasifiaji wa awamu iliyopitaKuna tatizo kwani?
Tulivyoambiwa tunajenga Reli na Bwawa la Nyerere kwa pesa ndani. Je sio mamlaka halali iliyotoa taarifa hizo? Kama ndio basi tunahaki ya kutokuamini kila kituKwa nini una shida za kuamini taarifa rasmi?